Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 7,809
- 75,778
Hivi ile tabia tuliyokuwa tukifanya miaka ya 90 na. Unang'oa jino halafu unalitupa juu ya bati huku ukisema "ewe mwewe chukua jino langu ili liote lingine"
Siku hizi sijui kama ipo tena. Sijaiona kitambo...
Siku hizi sijui kama ipo tena. Sijaiona kitambo...