The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,902
- 19,093
Wakuu habari ya wikendi,
Tuache utani kwa mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni inaongoza kuwa na wanawake wazuri na classic kuliko wilaya ya ilala na Temeke.
Kwa bahati nzuri nimebahatika kukaa wilaya zote hizo tatu na kutembelea maeneo yao ya starehe, hata ukienda bar za Kino utakutana na wanawake wazuri sana kuliko wilaya nyingine.
Pia viwanja vingi vizuri vya starehe na baa nzuri nzuri utazikuta Kinondoni.
Tahadhari: Wanawake wengi (sio wote) wa Kinondoni wako kibiashara kama eneo lenyewe la Kinondoni lilivyo la kibiashara.