Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
Habari wana Jamii Forums....Leo ningependa kujua interest za wenzangu humu JF..Obviously JF kuna Forums mbalimbali kutokana na aspects mbalimbali za maisha na interests tofauti za watu...Naomba...
Tatizo la lugha bwana..... Mkenya na Mtanzania walikuwa wakitambulishana kwenye mkutano mmoja wa East African Community.
Mtanzania: Are you married my brother?
Mkenya: Ooh, my wife is an angel...
Wakuu Wasalaam.
Mimi Kirchhoff ni MUME wa Mwanamke Mpole sana na Mnyenyekevu mwenye asilimia 99% za kuwa MKE MWEMA.
Nimetenda dhambi baada ya kupa mwili nafasi utawale roho.
Nimelelewa katika...
Hivi kama TUNDU LISSU, ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA na HALIMA MDEE hawapo BUNGENI.
naona BORA wafunge BUNGE wote waondoke..
Ni sawa na kufungua BAR alafu hauna BIA hata moja una SAYONA tu...
Nalazimika kuamini hivyo
Baada ya kusikia kuwa
nyuma ya kitwanga kuna sakata la lugumi,
Hainiingii kichwani kuwa waziri
afanye jambo la ajabu la kulewa wakati wa kazi
Huku akielewa fika miiko...
........Wanawake waache FUJO na ubinafsi , wanaume wametuita MABUZI kwa zaidi ya miaka 12 sasa wao kuitwa CHURA mwezi mmoja tu imekua nongwa.
Wanataka kutufunga istoshe chura
wameanzisha wao...
Eyoo.... Morale wasee?
Wasee, kwanza niaje Niaje?
Last Sato, nlipata mgeni, ni besthe yangu wa high school, for the time being he decided to visit me at University of Nairobi, kwa hiyo yard...
Acha tu niseme jamani..huyu Dada kwa kweli moyo wangu unamsumbukia sana. Nimefaiti kukutana naye lakini mpaka sasa sijafanikiwa..Rebecca naomba ujue kuwa Mimi nakosa usingizi kwa ajili yako. Huko...
1. The day a mosquito lands on your testicles is the day you'll understand that there are ways to solve problems without violence
2. The one who sleeps with itching in the anus wakes up with...
Sasa hivi tunatongozwa bila vinywaji!;;;;;; akikuona atakuomba namba!;;;; akifik yumbani kwake anachukua cm anaanza kukutumia vi emoji vya cm; chupi na brazia; atakuuliza nije lini; mkikutana...
Mvuta bangi mmoja alikuwa uchocholoni anavuta bangi mala akasikia sauti nzito akauliza "we ni nani?" sauti ikajibu me ni izlaeli mtoa roho" Mvuta bangi akajibu "dah umenishtua kweli nusu nijinyee...
Jamaa alikuwa bonge aliona tangazo
limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki"
Akawapigia simu na kuomba kujiunga, Binti:Sawa
uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za
Asubuhi..
Siku ya pili...
Kwanza nianze kwa kuwasalimu ndugu zangu,na kuwashukuru kwa namna tunavyoshauriana katika mambo mbali mbali yanayogusa maisha yetu ya kila siku.
Kwanza naomba nisimulie kidogo historia fupi ya...