Unakumbuka nini

mhogo mtamu3

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
344
250
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
 
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
Ulivyokuwa unasex haukukutana na muhogo mtamu?
 
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
mimi kuna mtandao mmoja uliniofanya nikakutana na rafiki yangu ambaye tulifanya kazi wote siku za nyuma tukakorofishsana nikamtukana na kuacha kazi live ........... lakini nilipo kutana naye mtandaoni pia nilikuwa sina kazi kama 2 month nilipomwambia akaniunga hapa nailipo sasa na ninafanya kazi huu ni mwaka wa 3.30 sasa nashkuru muumba kwa kuwa mitandaoni la sivyo ninhekuwa nalima mbatata kijijiinii wow na ndo kwanzaa nilikwa na mtoto wa miez 10 DAH ALINIOKOA SANA KWAKWELI mpaka leo nawaza jinsi ajira za hii nji zilivyongumu ingekuwaje ........ na ndi maana asilimia napenda kuwa kwenye mitandao ya kijamii nikikosa mitandao najiskia kuugua
 
Mi nashukuru Mara ya kwanza kujiunga fb nilipata rafik ambaye wakat nampata nilikuwa nikiishi Dar mazingira ya ajabu sana mpaka maisha yangu yalikuwa ya shida sana. Bas huyo jamaa ang alikuwa ni mtu wa Mwanza akapanga cku tuonane ikawa kama bahat mbaya kaz niliyokuwa nafanya nikaachishwa bila sababu za msingi nililia sana kwa kuwa ckuwa na nguzo nyingine ya kuegemea. Bas jamaa akaniambia ucjal nakuja Dar aliniambia nakuja na ndege hapo Dar cjui ilikuwa ushamba au nin kwanza ckuamin. Jamaa nikaenda kumpokea alikuja na ndege ya Air Tanzania tukaenda kwangu alisikitika sana kunikuta nalala chin. Kuanzia hapo aliyabadilisha sana maisha yangu. Naishukuru Facebook.
 
Back
Top Bottom