martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 273
Nalazimika kuamini hivyo
Baada ya kusikia kuwa
nyuma ya kitwanga kuna sakata la lugumi,
Hainiingii kichwani kuwa waziri
afanye jambo la ajabu la kulewa wakati wa kazi
Huku akielewa fika miiko ya kazi
Sina imani kubwa kuwa kitwanga
amefanya hivyo kwa bahati mbaya
Hii itakuwa ni janja ya kukwepa
Kufuatiliwa na mkono wa sheria.
Baada ya kusikia kuwa
nyuma ya kitwanga kuna sakata la lugumi,
Hainiingii kichwani kuwa waziri
afanye jambo la ajabu la kulewa wakati wa kazi
Huku akielewa fika miiko ya kazi
Sina imani kubwa kuwa kitwanga
amefanya hivyo kwa bahati mbaya
Hii itakuwa ni janja ya kukwepa
Kufuatiliwa na mkono wa sheria.