STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
........Wanawake waache FUJO na ubinafsi , wanaume wametuita MABUZI kwa zaidi ya miaka 12 sasa wao kuitwa CHURA mwezi mmoja tu imekua nongwa.
Wanataka kutufunga istoshe chura
wameanzisha wao
.............isingekua wao tungejua wapi? #mrHAKIsawaKWAwote
Wanataka kutufunga istoshe chura
wameanzisha wao
.............isingekua wao tungejua wapi? #mrHAKIsawaKWAwote