47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Eyoo.... Morale wasee?
Wasee, kwanza niaje Niaje?
Last Sato, nlipata mgeni, ni besthe yangu wa high school, for the time being he decided to visit me at University of Nairobi, kwa hiyo yard kenye me huchill. So I told him it's Okey hakuna shida, na Nikaulizana atastay for how long? Ndo akanishoo ni kitu kama week hivi. So nikaambia akuje tu.
So before hiyo time akuje, msee nikaosha keja, juu staki aibu joo, account nikazama na dish ni kuku. Majioni mgeni aliingia area. Tukagoteana one time, akanipea mastory za ocha vile kunaendaga skuhizi. After Hizo talks, akanishoo zile policy zake, kwamba skuhizi yeye hakulangi sukuma, kenye inafanya tumbo inamuuma. Then I told him, I'll try my best in ur diet.
Masiku zinasonga mgeni ameanza tabia zingine, jana, ni metoka Campo, napata zile viatu zangu mpya ameziharibu, namuuliza akanishoo ni yeye katika harakati za kujipima. Msee nikanyamasa, asubuhi nimebuy jam za mkate, narudi sahi nakuta amemaliza jam na siku moja, I asked him how? Akanishoo alipaka mkate asupuhi, mchana ameshinda akiionja.
Sahi natufuta zile ngotha zangu za cow boy, kumbe ameisunda, pia vest yangu nayo amesanya.
Noma ingine ni huyu mgeni, amevamia mbaka account yangu (juu me huekanga madoo zangu chini ya mattress). Wasee sioni hata finje finje.
Sahii niko mtaa nimeshika nare juu ya upuuzi za huyu mgeni. Sasa Hizo doo amesanya, na juu Sina kitu ingine kwa Mpesa.
Na sku ya kwanza alisema hakulangi sukuma, but hii week nataka nishughulikie na sukuma, so huyu mgeni anafaa kuishia juu mimi sioni dalili ya mchuzi!
But proboo yangu, naogopa vile niseme ahepe kiroho Safi. Niko mtaa, waiting for ur advices, nirudi kejani na heavy weight na nguvu za kung'oa mpaka reli.
Maconfidee za kufanya mgeni afunganye firago arudi kwa baba.