ibada ya jana

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,251
2,863
Jamaa alikuwa kanisani,jirani yake akamnong'oneza "kwa uwezo wa Mungu leo utatembea".....jamaa akafikiriaaaa "mbona sina ulemavu wa miguu?" Lakini akaona hamna noma,labda Mungu anataka kufanya miujiza,akajibu ameeen.Baada ya ibada,walipotawanyika,jamaa kujisachi akajikuta hana hata mia!!
 
Back
Top Bottom