Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536]
Mmoja kachukua dhahabu,
Wa pili kachukua pesa[emoji383][emoji385],
Wa tatu kakaa dukani,[emoji15][emoji15]
Mwenye duka kaja...
Nimemkuta rafiki yangu analia kama mtoto mdogo
chumbani kwake;
MIMI: Oya mshkaji vipi tena nani kafa?
MSHKAJI: Yaani Doreen kaniuwa, hivihivi bila kosa
kaniuwa
MIMI: Hebu tulia nambie ishu...
Nimekaa nikafikiria mwaka ujao kama uwezekano hizi sheria zibadilishe!
Siku za mwizi ziwe angalau siku 70 maana hali ya kipato na uchumi imekuwa ngumu mno.
Vinywaji viwe vinajazwa hadi juu kwani...
Habari Ndug!.
Kiukweli nimekumbuka zamani sana Leo, kuna mambo ambayo nilivyokuwa mtoto mdogo niliyadhania tofauti nauhalisia wake kwakwelii. Mfano wa mambo hayo ni
1.Nilidhania kuwa Daktari...
Nimekuwa nikitafakari, kumbe lili gwaride la kimya kimya lilibeba maana halisi ya tukio la leo uwanja wa taifa. Watu wamesherekea kimya kimya na wametawanyika kimya kimya.
Hata kwenye chapisho...
Kajiandae team: "diamond_ hufanyi muziki ila ni ujanja ujanja tuu"
DARASA: Acha maneno weka muziki imba unachopenda ukitaka kucheza cheza muziki
ALIKIBA (Akitaman sana kuwa kama diamond)...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nahitaji kujua mambo kazaa kuhusu kusafiri kutoka Tanzania hadi Uganda nisije nikatapeliwa na wahuni
1.Ni mabasi gani mazuri kwasasa kwa...
Hayawi hayawi ss yamekuwa, Serikali yatangaza kupandisha vyeo wafanyakazi wake, kuwaongeza mishahara, kuwapandisha madaraja na kuwalipa malimbikizo ya mishahara wafanyakazi wake wote kuanzia...
Habari wanajukwaa,
Tukutane hapa wale wote tunaopatikana Mikoa inayozunguka Ziwa Victoria ikiwemo mikoa hii :-
1:- Mara
2:- Mwanza
3:- Kagera
4:- Shinyanga
5:- Geita
6:- Simiyu
Ongeza...
DARASA, OMMY, ALI K NA DIAMOND
Kajiandae team "diamond hufanyi muziki ila ni ujanja ujanja tuu"
DARASA "Acha maneno weka muziki imba unachopenda ukitaka kucheza cheza muziki"
KIBA (Akitaman...
MADHARA YA KUNYWA MAJI KABLA YA KULALA
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea.
Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia.
Wakati huo...
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua...
*We Mdada unaeringa na iyo FIGURE (shape) yako...umesaau kuwa MATHEMATICS ilikua na Figure kibao ila shuleni bado Tuliikimbia?*[emoji276][emoji276][emoji276]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.