JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ZAMU YA NANI KESHO? Zamu ya MAnfongo... Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu. Kilango... Kapita Sefue... Kapita Likwelile... Kapita Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni...
2 Reactions
118 Replies
7K Views
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Tupa shida chini nyosha mikono juu, nafikiri ni muda muafaka kutafakari maisha kwa kupata kinywaji chako pendwa na kujumuika na ndugu jamaa na marafiki. Mwisho wa mbio za kwanza ndiyo mwanzo wa...
1 Reactions
7 Replies
820 Views
Nimetoka kifungoni ila aliyenisababishia ban nitadili naye mpaka kuzimu[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] nimeumbiwa visasi sijui kitu msamaha
1 Reactions
9 Replies
746 Views
Hizi ni baadhi ya picha nilizo zipata kwa wanaume wa mkoani!!!!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mtanzania alali natafuta natafuta mapapai mazuri sjui yanauzwa wap
0 Reactions
10 Replies
993 Views
mh!
0 Reactions
3 Replies
983 Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unashangaa wenzako wanabarikiwa wewe unabaki unajiuliza kwa nini? Kumbe kila siku Mungu anakuja kukubariki anakuta unaimba ule wimbo wa Ali Kiba "MALI NI NYINGI NYUMBANI.........," Anaamua kurudi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] Teacher:I will ask a question and whoever gets it right I'll give my iPhone 6S,.....How many men did Jesus feed? Felix:5000 men, Teacher:Good,take the phone and ask me...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Amani na upendo kwa wote. kuna kipindi nilikuwa nachukia sana siasa baada ya kuona migongano,mifarakano,viini macho na mambo kemkem yasiyoeleweka huku mengine yakiwa hayana kichwa wala miguu...
0 Reactions
2 Replies
613 Views
Habari zenu,, Ilikuwa majira ya saa nane mchana, nilikuwa nipo kwenye treni ya umeme nikitokea mbagala ambayo ilikuwa mithili ya jiji la washington d.c nikielekea zangu k. koo ambayo ilkuwa...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumechoka*
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, habari, Mwaka ndio umekwisha hivyo, Tunakutana wapi Kusheherekea na kutathimini? Pendekezeni na Kamati pia. MODS chukueni mawazo UPDATES; 1. Mbaamwezi Beach Hotel 2. South Beach Hotel
1 Reactions
54 Replies
3K Views
Back
Top Bottom