Miaka 55 ya uhuru kimya kimya.

dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
796
709
Nimekuwa nikitafakari, kumbe lili gwaride la kimya kimya lilibeba maana halisi ya tukio la leo uwanja wa taifa. Watu wamesherekea kimya kimya na wametawanyika kimya kimya.

Hata kwenye chapisho langu mpite kimya kimya.
 
Back
Top Bottom