WATANZANIA KILA UNAPO KWENDA HAWAKOSI CHA KUKUAGIZA................................

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
WA TANZANIA .jpg
 
Hakuna ubaya kuagiza chochote kile ndiyo kujenga urafiki wa karibu na kuwa kama undugu ili mradi tu mfuko wako unakuruhusu kununua zawadi hizo ulizoagizwa iwe samaki wa Mwanza, Dagaa za Kigoma, Mchele wa Kyela, Korosho za Mtwara au raba mtoni za majuu.
 
Tuletee habari za Sumba wanga.
Hivi NI kweli jamaa ni chawi kweli
Au hadithi za Alfu Lela Ulela
 
Back
Top Bottom