JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
16 Reactions
92 Replies
3K Views
Wana Chitchat habari ya mchana Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni...
2 Reactions
143 Replies
20K Views
Heri ya sikukuu ya Idd, ila kuna vimbwanga mitaani hasa tunaishi wilaya ya Temeke. Watu wanazulula mtaani na watoto Hadi usiku kupiga picha na Bar zimejaa watu wakorofi kidogo Tu wanarusha chupa...
3 Reactions
16 Replies
883 Views
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Haiwezekani nishindie chapati wakati nilikuwa nasikia mapochopocho!!, Hata wa humu jukwaani mmeshindwa kutoa mualiko nawakati nilikuwa nawasindikiza vyema kwenye mfungo wenu!. Sasa kwa taarifa ni...
4 Reactions
9 Replies
344 Views
Nimezaliwa tarehe na siku kama ya leo,ilikuwa sikukuu ,namaanisha tarehe 31:jumatatu
5 Reactions
11 Replies
440 Views
Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi. Angalau...
4 Reactions
5 Replies
437 Views
Ooooy! Niaje wakuu, Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge...
1 Reactions
11 Replies
585 Views
Niaje wakuu, bonjour comment cava! Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako. Au...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Eti wakuu mbona sie wengine tunasikia tu hayo mambo ya kulishana bani? Nyie wenzetu huwa mnaandika vitu gani humu? Sasa jichanganye na hapa ule bani tena🤣
17 Reactions
113 Replies
2K Views
Angalia hapa jinsi ninavyochukua mazoezi adhimu kwajili ya mialiko niliyoipata.
1 Reactions
7 Replies
503 Views
Wasalaam.. Christmas ni kesho tu hapo, kila mtu anachinja chinja na kuandaa madikodiko plus kupanga viwanja vya kutanua. Huu ni uzi maalum kwa kupeana zawadi na mialiko, alika memba mwenzio...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni nilitembelea stand up comedy events kadhaa na taratibu nikaanza kuvutiwa kuingia huko na nikaanza kujaribu kufanya. Hivyo basi kupitia uzi huu nitakuwa nashiriki nanyi...
9 Reactions
14 Replies
610 Views
Baada ya Mishangazi kushika kasi sio vibaya tukajua sifa kuu za mshangazi. 1. Awe single. 2. Awe kaachika au mjane. 3. Awe mweupee. 4. Awe na pesa. 5. Awe mnene. Baada ya hayo, niwatakie...
20 Reactions
128 Replies
8K Views
Kama wewe ni Muislamu naomba unikumbuke kwenye SikuKuu ya Eid. Asante
6 Reactions
5 Replies
363 Views
Unakutana na mtu anadai hali Kitimoto lakini anakula SAUSAGE, si kujidanganya nafsi? Huku ni kujidanganya nafsi, na wakati unajua imani ya dini hairuhusu. Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2 Reactions
67 Replies
8K Views
Kipi kinauma sana MOYONI: 1.Kudharauliwa. 2.Kumpenda mtu asiyekupenda 3.Kuwa mpweke. 4.Kutofurahiwa na watu. 5.Kufeli mitihani. 6.Kumpoteza mtu muhimu. 7.Kumuona umpendae akiwa na mpenzi mwingine...
3 Reactions
14 Replies
738 Views
Habari zenu Wana JF wenzangu! Kwa kujiunga ni new member lakini nimekuwa nikisoma nyuzi mbalimbali za mahusiano forum Toka 2014 Bila kulog in, nikafanya maamuzi nijiunge maana nimekuwa napata...
7 Reactions
112 Replies
7K Views
Poor Brain mapenzi yata kuua min -me endelea kufanya meditation
20 Reactions
756 Replies
17K Views
Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu mara kwa mara. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi. Nini umekiona kwenye jukwaa wiki...
25 Reactions
256 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…