JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hamjambo wananchi? Leo kuna kisa kilinikuta ndo maana nilipotea ilikuwa ivi, yaani kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya kuingia kwenye LIFTI wakati kila mtu anatafakari afanyeje me wakati huo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Ni basi gani zuri na nauli bei gani? Nataka niizunguke Tanzania kidogo. Natanguliza shukrani
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wakuu tushauliane vinywaji gani vyenye stimu za fasta na bei nafuu maana viroba ndo vishapotea hivyo mtaani
6 Reactions
114 Replies
6K Views
Wakuu nashauri jf ifungiwe, maana ni kama madawa ya kulevya.Nimekuwa mhanga wa haya madawa.Ila tuache utani kuna mda inanifurahisha, niliwaza, na pia kujifunza vitu mbalimbali.Dah nimekuwa mtumwa...
0 Reactions
9 Replies
935 Views
Ni matumaini yangu sote tu wazima, nawaombea kwa Mungu wote walio tofauti kiafya. Twende moja kwa moja kwenye suala husika, Ndugu wana JF wenzangu je kwa wakati huu ukikutana na mtu aliye toka...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuhama analogy kwenda digital na TCRA kuzima kuzima simu feki SERIKALI ili tuongezea muda,je?Mh:hatu ongezewi angalau 2 WEEKS tumalizie VIROBA vyetu!!.....
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Have u ever noticed that most unpleasant words start with the letter "D"? -; Delete, Destroy, Divorce, Disappoint, Death, Disaster, Disease, Debts, Disrupt, Depression, Demise, Demons, Devil...
16 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeshaapa hakuna kitakachonirudisha nyuma kama M/Mungu akipenda. Natarajia yafuatayo:- .kuwaona wageni watarajiwa kutoka ki jiji anakotokea huyu bwana (kiumbe) . Pia natajia ile story...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
MSAADA WADAU kuna namba sitaki zinipigiea simu Je nizifanyeje ili akipiga asinipate...?
0 Reactions
7 Replies
941 Views
wakuu..! dakika chache zilizopita yamenikuta haya.. nilikuwa naswaki sehemu ya kuswakia lakini nikawa nimesahau kitu chumbani kwangu ikabidi nirudi. Wakati nimerudi ndani akaja mtoto mzuri anaekaa...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Have u ever noticed that most unpleasant words start with the letter "D"? -; Delete, Destroy, Divorce, Disappoint, Death, Disaster, Disease, Debts, Disrupt, Depression, Demise, Demons, Devil...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani namtafuta huyu mdada, siku mingi NO SEE, chemistry ndo ilikuwa imeanza kunoga tu kati yetu ila me nikapotea humu kidogo, so napenda kumjulisha nimerudiiiiiiiiiii
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya unadhani utaweza kutambua maeneo haya ya WILAYA, KATA na MITAA ya Dar es Salaam:- 1. [emoji64]+[emoji491]+la 2. [emoji362]+[emoji482]+[emoji362] 3. [emoji360]+ga+ 4.[emoji360]+[emoji808] 5...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Niko bored facebk makondo, jf makonda, magazetini makonda, twitter, whatsup, insta yaani huko kote ni makonda utadhani hakuna habari nyingine. Bora tukumbushane mambo yetu ya nyuma tucheke...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam! Naandika kwa uchungu mkubwa sana, ila lazima niamue kweli yenyewe, decision must be made! Kwanza natanguliza shukrani zangu zote kwake Heaven on earth kwa kunilea, kunipa hifadhi...
1 Reactions
170 Replies
8K Views
Yaani Nimeenda Kuchota maji kisimani nikakuta wamama kibao wamejazana kisimani na ndoo zao kibao Alaf mimi nina haraka zangu Ikabidi nitumie plan....Nikawaambia Kuna Ng'ombe Amegongwa gari pale...
11 Reactions
11 Replies
3K Views
.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DADA WA KAZI ANATAKA KUONGEZEWA MSHAHARA House girl alitaka kuongezewa mshahara, lakini mama mwenye nyumba akataka apewa sababu 3 za house girl kutaka kuongezewa mshahara: DADA: Ninaweza kupika...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Nimefika Dar es salaam 2002 lakini hadi Leo sijawahi sex na MTU katika ardhi ya DSM wala kuingia guest
3 Reactions
77 Replies
9K Views
Wakuu kuna kibubu changu nimekiandika ,"Lema" kina wiki sasa sijui ntanunua nini lema akitokaa!!! Ebu nishauri budget yaweza fika laki
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…