Ni utani tu

Wewe mtoto wa kiume....Umri unakwenda huo....Utatembea na mbegu mpaka lini....la sivyo utaitwa mjomba hadi unazeeka.

Chanzo: Kizingiti
Wacha wee! Unataka kijana wa kiume afanye nini na hizo mbegu? Kama hajapata 'shamba' je? Ametulia kimkakati ali atumie hizo mbegu siku na kwa 'shamba' mwafaka.
 
Back
Top Bottom