Hatimaye na mimi mzuka ukanishika

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,381
29,627
Yaani Nimeenda Kuchota maji kisimani nikakuta wamama kibao wamejazana kisimani na ndoo zao kibao Alaf mimi nina haraka zangu
Ikabidi nitumie plan....Nikawaambia Kuna Ng'ombe Amegongwa gari pale barabarani kina mama wenzenu wanagawana nyama
Wote Wakatoka mbio kuelekea huko barabaran sasa badala mimi nichote maji cha ajabu eti na mimi nikakimbia kuwafata maana jinsi walivyokimbia mpaka na mimi nikazani Kuna Nyama Kweli
SASA HII NI BANGI AU UNGA WA SEMBE.
 
Aisee huo si mzuka wa kawaida mkuu ni maajabu ya mwanzo wa mwaka.
 
Yaani Nimeenda Kuchota maji kisimani nikakuta wamama kibao wamejazana kisimani na ndoo zao kibao Alaf mimi nina haraka zangu
Ikabidi nitumie plan....Nikawaambia Kuna Ng'ombe Amegongwa gari pale barabarani kina mama wenzenu wanagawana nyama
Wote Wakatoka mbio kuelekea huko barabaran sasa badala mimi nichote maji cha ajabu eti na mimi nikakimbia kuwafata maana jinsi walivyokimbia mpaka na mimi nikazani Kuna Nyama Kweli
SASA HII NI BANGI AU UNGA WA SEMBE.
Hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom