nimemeza povu la dawa ya meno ili nimjibu mtoto mzuri

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,329
2,644
wakuu..!
dakika chache zilizopita yamenikuta haya..
nilikuwa naswaki sehemu ya kuswakia lakini nikawa nimesahau kitu chumbani kwangu ikabidi nirudi. Wakati nimerudi ndani akaja mtoto mzuri anaekaa chumba cha jirani kuniomba ndoo ya kuogea..sasa kwa kuwa ndani hakuna sehemu ya kutemea nikaamua nimeze povu lote ili nimjibu...yeah nikamwambia hata mimi naenda kuoga...
Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom