Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Hamjambo wananchi?
Leo kuna kisa kilinikuta ndo maana nilipotea ilikuwa ivi, yaani kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya kuingia kwenye LIFTI wakati kila mtu anatafakari afanyeje me wakati huo nilikua nayaangalia MAZIWA yake kwa jinsi alivyoumbika yaani hata ungekuwa wewe ungeyatazama tu. Mara nikasikia sauti nyororo inasema "bonyeza moja" me si nikalibonyeza? Kumbe alimaanisha moja ya kitufe cha lift mweh!
Kilichotokea hapo naomba mmoja ajitokeze kusimulia kwa niaba yangu