Tujikumbushe, ulishawahi kuacha au kuachwa kwaajili ya kichongeo kipya?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,492
2,361
Niko bored facebk makondo, jf makonda, magazetini makonda, twitter, whatsup, insta yaani huko kote ni makonda utadhani hakuna habari nyingine.

Bora tukumbushane mambo yetu ya nyuma tucheke turefresh mind. Back to the topic, ULISHAWAHI KUACHA/KUACHWA KWAAJILI YA KICHONGEO KIPYA? hebu tujuze nn kilijiri enz hizo
 
Hebu tumuulize kwanza Bashite maana hadi jina aliacha.
 
Niko njiani naelekea koromije mvua inanyesha sana ila nina uhakika nitafika tu
 
ULISHAWAHI KUACHA/KUACHWA KWAAJILI YA KICHONGEO KIPYA?

mkuu hilo neno Kichongeo hata sijui umemaanisha kitu gani maana hizi akili zangu zimeenda mbali sana yani

Kichongeo huchonga penseli unajua ........
 
Back
Top Bottom