Basi zuri Mbeya- Mwanza

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
5,927
8,307
Wakuu salaam,

Ni basi gani zuri na nauli bei gani? Nataka niizunguke Tanzania kidogo.
Natanguliza shukrani
 
Kusafiri kwa ndege haihitaji hela mkuu... Ni mipango tu. Kara ticket yako mwezi mmoja kabla na utatumia nauli sawa na anaesafiri kwa basi.
Mkuu mwez mmoja kabla emmergency zaweza kutokea. Kuna mwaka flan lak yangu iliwahi kuenda hivi hivi
 
Ukiogopa emergencies huwezi fanya kitu mkuu! Maisha ni kuchukua risks. Watu tunajinyima starehe na kujibana kutunza hela ili tununue magari, emergency inaweza tokea, ajali za bodaboda kila siku... Nikivunjika miguu je? Unaweka pembeni emergencies na kuomba Mungu zisitokee huku unaendelea na mipango yako
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Yeah sure mkuu. Sometimes u need to be a risk taker. Thanks
 
Back
Top Bottom