JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki...
4 Reactions
14 Replies
824 Views
Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Nipo Bunda kupumzika kwa wiki nzima.Pia nitakuwa nawatembelea baadhi ya rafiki zangu ambao wamestaafu kama mimi na wanaishi mbali kidogo na mji huu.
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii. Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi...
5 Reactions
102 Replies
3K Views
1. Kula ugali kwenye sufuria. Badala ya kuweka kwenye sahani usipakue kula palepale dona lako likiwa la moto. 2. Kunywa maji kwenye glass. Unaposikia kiu ukanunua maji yako ebu usinywe kwenye...
4 Reactions
20 Replies
777 Views
Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa ..... Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo...
9 Reactions
92 Replies
2K Views
Wakuu hivi ni kweli hayo yanayosemwa mbona mimi nakunywa najionaga kawaida tu πŸ€”
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram.. Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga...
29 Reactions
360 Replies
12K Views
Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwenyezumungu hawezi kumpa kila mja na pia kuna binaadamu wenye uhitaji maalum. Kutokana na hilo ndio maana kuna omba omba katika jamii zetu na kwingineko duniani. Ukiacha hawa omba omba...
2 Reactions
7 Replies
403 Views
Mzuka wanaJF, Tulikuwa na katabia fulani na marafiki zangu kuandika maandishi kwenye vioo vya magari yaliyochafuka na vumbi. Sasa kuna siku gari la TANAPA lilipaki kitaa yani limechafuka na...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Aisee labda niwe nimelewa ila kulala mchana big NO cha kushangaza sasa kuna watu wanasinzia daily mchana yaani mnafika job asubuhi tu mtu saa 3 anaanza kuegesha saa 7 anaegesha na sio kwamba...
2 Reactions
7 Replies
367 Views
Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa. Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni...
2 Reactions
3 Replies
489 Views
TUKUMBUSHANE WAKUU 1. Hata penzi/ndoa iwe tamu kiasi gani usijethubutu kujenga kwenye kiwanja cha mkeo/ukweni. 2. Usinunue eneo unalojua lina mgogoro. 3. Mkwe hakopeshwi. 4. Usitangulize kutua...
2 Reactions
19 Replies
713 Views
Yani ulikuwa ukilala unaota namna gani kesho utamfunga mwenzio na namna gani utamvukisha snake kumaliza mission katika top gear, etc aisee maisha yanakimbia.πŸ™ŒπŸΏ
1 Reactions
3 Replies
424 Views
Leo n weekend nipo Moro town maeneo ya kambalage Nala Bata πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,wewe upo wapπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ˜‚ Anastasia21 Tumwesige senior
2 Reactions
63 Replies
2K Views
https://www.facebook.com/share/r/18LBxmXewj/
0 Reactions
16 Replies
676 Views
Hakuna kinachoweza kushinda urembo wa namna hii, unakuta mtoto tumbo flat alafu sio pana then butt imeinuka round na sio kubwa na tepe tepe sanaaa, paja linakuwa nusu kilo sio kilo moja, chuchu...
1 Reactions
6 Replies
536 Views
Sijui ni tammaa, sijui ulimbukeni, sijui ni tabu, sijui ni mindset Anyway hivyo hivyo tutaenda.
15 Reactions
93 Replies
2K Views
Kwetu smart thinkers
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…