JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Utangulizi: Kwa Minajili ya Usiri/ confidentiality sitamtaja moja kwa moja mzee huyu aliyeishi Mkoa mmoja wa Kaskazini. Alifariki akiwa na miaka 104 Alikuwa na wake watano, waazuri wenye shape...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Nimekutafuta kwa muda mrefu, sijafanikiwa kukupata!! Naamini kabisa utakuwa member hapa JF.. and this is the only way for me to confess and let you to know the truth!! I got ur number kupitia...
5 Reactions
95 Replies
9K Views
Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music. Chaneli hii...
1 Reactions
0 Replies
266 Views
Kama hali iko hivi wanawake ni hateri, kanisa karibia nusu ya wanawake wamesha tumukishwa na wanaume zaidi ya 100, na wa onea huruma wanao tafuta wanawake wa kuoa makanisani. Loh angalia hi vidio
2 Reactions
18 Replies
631 Views
Kwema wakuu Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
6 Reactions
137 Replies
4K Views
Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ? Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwani siku hizi hakuna zile familia za "CHUKUA MILLION 5 UKAE MBALI NA BINTI YANGU" Ali Nassoro Px Facebook
2 Reactions
2 Replies
203 Views
Wanaowiwa na kuamka alfajiri! Hii ni club ya wanaotoka asubuhi kwenda kuchakarika na pia wanaoamka mapema kama sehemu ya kuweka mwili fiti (mazoezi) au kufanya siku iwe bora. Kama we ni mpenzi wa...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Heshima mbele, kwema bandungu Hili onesho la wanaume na wanawake kutafuta wapenzi/wenza kwenye show lina uhalisia au ukweli? ama ni maigizo ili kupata kipindi cha kuuza kwenye TVs?
3 Reactions
69 Replies
3K Views
Karibuni, Raha jipe mwenyewe, kula chips yai haviondoi uanaume wako.
2 Reactions
5 Replies
428 Views
Habari za muda huu wanadau wa JamiiAfrica? Juzi kati nilikutana na wazee wawili njiani,wakipeana ushauri wa jinsi ya kutumia hela anayoipata kwenye shughuli zake,kilichonishangaza ni pale mmoja...
5 Reactions
6 Replies
468 Views
Kuna mambo yanashangaza . Wakati naishi uswahilini , nilipanga Eneo moja ndani ya chumba kulitokea panya ambao hawakujulikan wanatoka wapi. Ila story ilipo ni hii hao panya walikuwa wadogo...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa...
12 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu, Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana. Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna...
23 Reactions
110 Replies
8K Views
1. India 2. China 3. Korea 4. Japani 5. Uingereza Na nchi zote zinazo fanana na hizo. kwanini ningepata tabu? Kwa sababu maumbo ya warembo wa mataifa yaya siyo rafiki kabisa na machaguo yangu...
4 Reactions
11 Replies
645 Views
Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
3 Reactions
12 Replies
409 Views
Gen Z njooni tubadilishane mawazo na uzoefu. Vipi wewe unafanya mishe gani? maisha yanakupiga au umeyapatia? Kama umeyapatia, tufundishe njia zako na sisi tutembee humo. Humu JF naona GenZ...
8 Reactions
93 Replies
2K Views
Ndiyo maana wengi huwaoni jukwaani. Vijana utuuzima unamajukumu mengi saana. Unataka kulog-in JF mke anahitaji cuddling, watoto wanachezea simu yako kazini labda kwasababu ya umri wewe ndiye boss...
17 Reactions
61 Replies
2K Views
Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa...
9 Reactions
80 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
3 Reactions
5 Replies
384 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…