Eti wakuu yupi ni kiumbe hatari ukikutana naye huwezi pona kati ya hawa na yupi unaweza Pona?
Na kwa mbinu zipi?
Kati ya nyoka KOBOKO na mnyama SIMBA
Kwangu Mimi naona Bora nikutane na koboko...
Mie upande wangu la saba nilimaliza Mugabe sinza .......20003
Form four azania sec 2007
Form six tambaza sec 2010
Wana nzengo katika hili hebu tuanze kufahamiana wewe ni wa mwaka gani ukutqne...
Anapenda sana siasa huyu MamaSamia2025. Ila shida sasa siasa yenyewe bado hajaiweza au niseme haijui. But nadhani ni vyema tumpongeze kwa kuonesha juhudi.
Ingawa huwa anakuwa na hasira na...
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi...
Katika kajitafiti kangu kafupi nimegundua kuwa hakuna kabila inapenda kula mzigo kama wanyiramba awe wa kike awe wa kiume kazi ni ile ile halafu kwa kuzaa watoto holela, unakuta kila mtoto ana...
Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati...
Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao...
Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa
Ila nionavyo mimi..kwa...
Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa.
Leo kwa msaada wa AI chatgpt.
Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani.
Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe...
Baada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani
Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii...
Mimi sijui nina matatizo au ni akili yangu imeamua kupiga mbizi bila kujua kina cha bahari, hata kuna siku nilikuwa nikimuadithia swahiba wangu alibaki kunicheka, nikuhusu ndoto zangu
Kila...
Wakuu
Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani
Nakupenda sana Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm...
Jaman tatizo langu sielew...mwenzenu toka yaanze maswala ya vyeti na mambo ya kutena mm kwangu imekuwa tofauti yani kila kisikia wakiongea habari za siasa uume wangu unasimama ni saidie jaman...yn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.