Villky_J
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 492
- 609
Jaman tatizo langu sielew...mwenzenu toka yaanze maswala ya vyeti na mambo ya kutena mm kwangu imekuwa tofauti yani kila kisikia wakiongea habari za siasa uume wangu unasimama ni saidie jaman...yn imefika hatua mpk najitenga na watu wakianza hz habar nifanyeje na nchi ndo imeshachafuka kila kona siasa..