JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Shalom jukwaa! Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda...
36 Reactions
172 Replies
5K Views
Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada...
13 Reactions
42 Replies
2K Views
Baada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani. Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge 1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba. Hapa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi hawa wanyama wamewakosea nini binadamu kunasibishwa nao? Kwa nini isiwe tembo, simba au twiga? Watu wakiwa na makasiriko huita wenzao majina hayo kwa nini?
7 Reactions
23 Replies
793 Views
Kwema? Wana jf hamjambo? Kazi nyingine mabos... bosi kanipa kazi nipige skruu mbao kwenye dari dakika mbili namuaona yuko chini ananiangalia anaoana nafaidi sana. Udenda tiriri anataka kazi...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Should long-term partners know each others' phone passwords? (Je, wapenzi wa muda mrefu wanafaa kujua nywila za simu za kila mmoja?) --- Chaguo lako ni lipi. Weka comment na eleza kwanini? 1...
3 Reactions
16 Replies
717 Views
Miaka ya 80 Wazee wangu walisumbuliwa na mauzauza pia na maradhi yasiyoisha, Basi siku moja wakasikia kuna mganga ametoka Uganda anatumia (Amaembe)Mapembe sijui niite hivyo ila kwa wakazi wa...
3 Reactions
4 Replies
643 Views
Nakumbuka wakati naanza safari yangu ya kitaaluma pale Eden Valley primary school iliyopo buswelu mwanza, moja ya kitu kilikuwa kinanishangaza kuhusu hawa wakenya ni kitendo chao cha kunywa uji...
6 Reactions
21 Replies
956 Views
Wakuu, Kila mmoja wetu humu jukwaani ana stori yake ya kuvutia,kusisimu na kushangaza ya kwa nini alijiunga jf! Wapo waliovutiwa na stories za mapenzi,siasa,michezo nk. Kwa upande wangu stori...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Wife kajifungua salama kabisa, with no any complications OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu , Lianze na alphabet A
4 Reactions
115 Replies
5K Views
Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna...
38 Reactions
274 Replies
8K Views
Huku kuna baridi sana, Nimepita dukani nikachukua Four Cousins nipige. Baadae nakumbuka ninatumia Cold-Off Capsule. Daah basi bwana
1 Reactions
2 Replies
287 Views
Habari wakuu. Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
1 Reactions
11 Replies
731 Views
Tembelea matawi matawi tajwa hapo juu Kisha chunguza Kwa kina. Ni Pisi zilizo nyooka hazina kipengele na wanatoa huduma nzuri wanakusikiliza mteja wao .. Huko kwingine wananyodo huduma mbovu...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Kuna mtu mmoja amewahi kusema ntwara(mtwara ) haikuwa ndani ya Tanzania bali ulikuwa ukanda wa Msumbiji, Yawezekana yakawa ni ya kweli mimi sina uhakika. Dondoo hizi zinahusu mambo ya kunishangaza...
12 Reactions
80 Replies
4K Views
Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/= Totall 5,200/= Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu. Kitimoto huku nusu ni...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga anajiita mwerevu,mwerevu anaitwa mjinga 🤣🤣🤣🤣, choicevariable...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Huyu Mbunge aliyeita watu ni Kenge kumbe katumia miaka 27 kupata Diploma. Ila nadhani hakuna Bunge duniani lina vilaza kama hili.
3 Reactions
2 Replies
347 Views
Back
Top Bottom