Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
Salamu wanajukwaa.
Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani.
Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica.
Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni...
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “mshangazi”.
Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao...
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.
Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
👉I kwangu ni jamii...
Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau?
Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi.
Karibuni!
Kwema wakuu ?
Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar...
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba...
Bikra bikra!
Enzi za kale babu zetu walihakikisha watoto wao wanatunza bikra zao hadi siku ya ndoa!
Binti aliyejitunza alionekana kuwa ni bora zaidi Na heshima kubwa kwa wazazi wake!
Njia...
Kulikuwa na washtakiwa watatu, Mmasai, Mmakonde na Mchaga. Wote waliukumiwa kufa/kuwawa kwa kukutwa na madawa ya kulevya, kule Jamhuri ya wa watu wa China. Serikali ya China kwa kuzingatia...
Katika pitapita zangu mitaani mji wa ZnZ, siku moja nilipata bahati ya kuwasikia ndugu zangu wa kule Pemba.
Walikuwa wakijadiliana kuhusu kipindi kilichokuwa kimerushwa na runinga, kipindi...
A Chinese couple got married. When the baby was born, her eyes were big and blue, hair was curly and blonde, skin was brown.
Finally, name of baby was SUM TING HONG ("some thing wrong")...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.