alafu hizo ids ni za mtu mmojaKamanda Asiyechoka 😂😂😂
Hakuna swali hapo.Lucas Mwashambwa leta majibu
Huyu pia upside downLucas Mwashambwa leta majibu
Huyo ni kada na chawa kiaina! hataki kusikia Samia asemwe vibaya.Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga mwerevu,mwerevu mjinga, choicevarible wewe ni nani ??au upside down
political scientist anakuvuruga sana eee 🐒Kuna chawa , kuna kada,kuna mwanaharakati ila politics ni kifo cha mende, au popo kanyea sinia la wali, politics upside down ,mjinga mwerevu,mwerevu mjinga, choicevarible wewe ni nani ??au upside down
🤣🤣🤣alafu hizo ids ni za mtu mmoja
Upside downChoiceVariable unaitwa uku
Choice nimefanya naye argumentation kadhaa hapa jf ukimpa facts nimeona huwa anakubali sijajua kwa upande wa wengineHawa wote ni upside down
Amani ya Bwana iwe pamoja nawe.Choice nimefanya naye argumentation kadhaa hapa jf ukimpa facts nimeona huwa anakubali sijajua kwa upande wa wengine
Ila hilo jinga jinga Lucas Mwashambwa hata kwenye ukweli linakataa
AminaAmani ya Bwana iwe pamoja nawe.