JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawa walitoka makwao Disemba 2023 na hii Februari 2025 wameonekana ni wajawazito. Wakuu nataka mnipe uhakikisho hawa wapendwa walitoka na ujauzito makwao au wameupatia hukohuko vitani? Hapa...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu...
14 Reactions
34 Replies
1K Views
Mabango yote ya huduma ya kitomoto utakuta yameandikwa KITOMOTO SAFI. Sasa Huwa najiuiliza, Kuna kitomoto chafu?
1 Reactions
8 Replies
368 Views
I swear!
0 Reactions
0 Replies
205 Views
🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
14 Reactions
64 Replies
1K Views
Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari Tatizo ni nini!?
4 Reactions
34 Replies
960 Views
This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
22 Reactions
107 Replies
4K Views
Wakuu kwema, Kuna vitu mbalimbali ambavyo vinatambulisha maeneo fulani bila hata ya kuangalia location ya mahali ulipo. Tuvitu vitu ambavyo ni spesho kwa kwenye mji huo. Ntaanza mimi; -...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Yessssssss.. niaje! Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile...
35 Reactions
270 Replies
10K Views
Hapa kuna jambo kidogo. Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda. Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima. Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka. Ilikua baada ya ya kuniletea...
2 Reactions
0 Replies
281 Views
min -me Nimekucheck pm mwezi iliopita kuwa natafuta ajira. Unanihakikishia kabisa utani connectia na supermarket yenu ya familia iitwayo "Minimal Price" iliopo mwenge. Ukaniambia hata nikishafika...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna kitu huwa kinanistaajabisha kidogo hapa bongoland hasa kuhusu jamii ya watu wanaotuzunguka. Yani mtu ukiwa huna shobo zile za kindezi kwa watu au kushabikia mambo ya kipuuzi puuzi basi jamii...
2 Reactions
5 Replies
426 Views
- Mbaba anayemiliki kipara hasa kile cha kung'aa - Mbaba mwenye kitambi - Mbaba anayevaa suti akiongezea na tai ndo ina thibitisha ana vibunda vya kutosha - Mbaba yeyote anayevaa miwani hata...
5 Reactions
16 Replies
565 Views
Leo ni tarehe 0! :Loading:Tarehe ya leo ni ya kipekee kabisa, inaundwa na number 0, 2 na 5 pekee 25-02-2025. 2(5-0-05)=0 :PensiveWobble:!
5 Reactions
10 Replies
804 Views
Kama usiku ukikosa usingizi unafanya nini? Mimi naimba pambio
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Mama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia. Msiende kusanga hayo mahindi...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini...
11 Reactions
41 Replies
3K Views
#PilikaPilika: Kwa tafsiri rahisi “Msela” ni mtu wa aina gani? #PilikaPilika #HainaKuchoka Msela ni mtu asiyejali chochote. Apate chakula anafurahi. Asikipate anafurahi. Aibiwe anacheka tu...
3 Reactions
9 Replies
784 Views
Najua wengi hawawezi amini mimi ni kijana wa kitanzania niliyesoma na Elon musk na huwezi amini alikuwa mweupe sana darasani. Kwa wale wabishi nitapublish picha ishirini nikiwa nae darasani pale...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom