JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen? Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
5 Reactions
70 Replies
2K Views
Hell Hali ilikuwaje ulipo date na mpemba mimi kwangu naona ni ngumu hawa wadada wa kipemba et anagoma kunipa mpaka nimuoe na tuna mwezi tangu tufahamiane mimi uamuz wangu ni akiniomba pesa na...
14 Reactions
112 Replies
6K Views
Hivi ni mimi tu ndio nashindwa kutembea na 🪪 wallet au nikitembea na wallet basi nita sahau pahala au nitaangusha naona kubeba wallet naona kama ni shida fulani nimeenda nishazoea sasa...
10 Reactions
161 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi waungwana Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Yani mtoto akilia sana hanyamazi, anaitwa Anko mwenye sura ngumu, anamwambia “we we, ntakumeza” bas mtoto alimuangalia anaona hili li monster linaweza nimaliza kweli, dogo ananyamaza. Akilia...
2 Reactions
4 Replies
258 Views
Habari zenu Wakuu Natumaini mnaendelea vyema kabisa.Leo nimeona tuweze kushare matukio au mambo ambayo tulikutana nayo tukiwa katika makambi ya JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kujitolea Tukio...
2 Reactions
6 Replies
381 Views
Kutoka kwenye official page ya Rockstar Games, sasa ni official kuwa Grand Theft Auto VI litazinduliwa rasmi mwakani 26 may tofauti na matarajio ya watu wengi kwamba lingezinduliwa mapema ndani ya...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu huyu mrembo MAMBISE mchekeshaji wa WATU BAKI nimetokea kumpenda vibaya sana. Sura yake inanimaliza, pua yake inanitaabisha, tabasamu lake ndiyo usiseme. Pozi lake linanichanganya mno...
3 Reactions
21 Replies
645 Views
Ivi binadamu tungekuwa na maisha ya milele bila kifo ingekuwaje??
1 Reactions
5 Replies
231 Views
Wakuu anejua mwanya ini english
6 Reactions
167 Replies
6K Views
Sheria imewekwa ili ivunjwe. Tangu nilipoanza kusikia habali za bangi, sikutaka kuamini hivi hivi bila kuifanyia test![emoji4] Bangi niliipata kiulaini tu (kijijini), nikaiandaa vema kabisa na...
9 Reactions
164 Replies
8K Views
Wakuu Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
4 Reactions
38 Replies
1K Views
hello jf online... hamjambo wote kwa ujumla Temperature equivalent Baba wa mbingu Masagala Castle_Lite osib Chibolo Bengalensis mshamba_hachekwi Alphonse Kihwele Babuyao maiko sultan Mwani...
2 Reactions
0 Replies
145 Views
Niulize chochote, kuhusu lolote. Itikadi zangu, attitute yangu nakadhalika. Sitokutukana, nitakujibu kwa upole Karibuni.
6 Reactions
727 Replies
62K Views
Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani...
4 Reactions
11 Replies
429 Views
Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Mim nilikuwa na mwalimu wangu wa biology ambaye kila mwaka lazma anikamate kwenye tukio la peke yangu na akinikamata ilikuwa ni kiminyo kikalii
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake. Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
11 Reactions
168 Replies
4K Views
Mbona sijajenga? Mbona sijapata kipato cha uhakika? Mbona sina gari? Mbona sitengenezi faida ya uhakika? Mbona sijaoa/sijaolewa? Mbona sina mtoto? Mbona sina akiba? Mbona nachelewa? Mbona...
11 Reactions
95 Replies
2K Views
Back
Top Bottom