JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuna nguvu ya ajabu kwenye kufanya mambo kimya kimya_ Jifunze kuwa mbinafsi kwa njia sahihi. Kuwa mbinafsi sio ubaya – ni ulinzi wa ndoto zako. Ni kukataa kupoteza muda kwenye kelele za watu...
2 Reactions
1 Replies
259 Views
Malegends, Naombeni list nina kazi nayo personally.
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, this weekend nitakuwa Kilwa(Lindi) nataka nitembelee hii miji mikongwe ya kilwa yaan kilwa Masoko na Kilwa Kivinje.. Naomba kufahamishwa maeneo ya...
2 Reactions
8 Replies
389 Views
Wasalaam ndugu zangu Naomba nilete kwenu hii hoja. Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni...
7 Reactions
12 Replies
546 Views
Je, unatambua kuwa kuna baadhi ya matunda na mboga za majani havitakiwi kuwekwa kwenye Friji? Kuna baadhi ya aina ya Matunda na mboga za majani havihitaji kuwekwa kwenye Friji (Jokofu), Mfano...
3 Reactions
5 Replies
654 Views
Mimi binafsi siwez lala bila mto Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi Siwez lala taa ina waka Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima...
8 Reactions
144 Replies
3K Views
Karibuni sana . Ni mwendo wa kuburudika na kuburudisha.
2 Reactions
7 Replies
447 Views
Kuna matunda yananishangaza mfano parachichi ukisema ulinunue jioni usipolila ukilala Tu ukiamka kesho lishaanza kuoza weusi kwa ndani ila yakae pale kwa muuzaji hata kama limeiva ananunua mzigo...
3 Reactions
9 Replies
494 Views
Wiki ijayo nitaanza mafunzo ya urubani wa ndege kwa muda wa miezi miwili katika chuo cha YouTube. Baada ya hiyo miwezi miwili, nitakuwa nimehitimu vizuri. Kwa hiyo ndugu zangu, wale wote...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Wakuu niaje. Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire. Ulitumia kitu gani? Ulichukua hatua gani baada kujua? Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Tarehe kama hii mwaka fulani walikusanyika kwa ajili yetu tukijiingiza kifungoni, ingawa sijui hata kama leo yupo aliyeiweka kwenye kumbukumbu. Hadi naandika hapa, ni mengi tumepitishana. Uzi tayari
3 Reactions
2 Replies
212 Views
Unadhani ni mgombea yupi anastahili kutupiwa radi?? Mgombea atakayetajwa na wengi ndiye nitamtupia hiyo radi.
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia.. Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu...
11 Reactions
115 Replies
4K Views
Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya.... Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama...
43 Reactions
1K Replies
24K Views
Mood imenitoka baada ya kusubiri dili fulani la pesa ila dakika za mwisho mambo yakaenda tofauti Vipi wewe mdau kipi kinakutoaga kwenye mood karibu tushee experience
4 Reactions
37 Replies
976 Views
Hivi umeshawahi kuwa kwenye foleni ya magari hapa dar? Wale wenye magari ya v8, ranger rover, BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti Wenye tax, Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Moja kwa moja. Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao. Pamoja na Mgerasi Busu la...
21 Reactions
70 Replies
2K Views
Mzuka Wana jamvi, yerereeeeeerreereerreereyere!!!!! Bila kupoteza muda. Baadhi ya Nicknames @Magahayo = The Mongolian Savage, Mgerasi , Semenya aka Mabange GENTAMYCINE = Popoma Mshana Jr =...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom