Hakuna usawa: Vitu wanavyouziwa walio kwenye magari binafsi na walio kwenye daladala

Asemavyo

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
303
1,000
Hivi umeshawahi kuwa kwenye foleni ya magari hapa dar? Wale wenye magari ya v8, ranger rover, BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti

Wenye tax, Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya kuchoma

Sisi wa kwenye daladala sasa!... Tunauziwa sumu za panya,dawa za mende, dawa za fangasi!. Mwishowe tunapewa na vipeperushi vya waganga wa kienyeji!.

Machinga Mungu anawaonaa!..
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,661
2,000
Ivi umeshawahi kua kwenye foleni ya magari hapa dar!?
Wale wenye magari ya v8,ranger rover,BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti

Wenye tax,Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya kuchoma

Sisi wa kwenye daladala sasa!... Tunauziwa sumu za panya,dawa za mende, dawa za fangasi!. Mwishowe tunapewa na vipeperushi vya waganga wa kienyeji!.

Machinga mungu anawaonaa!..
Shuka utembee!
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,448
2,000
Ivi umeshawahi kua kwenye foleni ya magari hapa dar!?
Wale wenye magari ya v8,ranger rover,BMW.. Hao utaona wakiuziwa magazeti

Wenye tax,Toyota na Noah hao utaona wakiuziwa mahindi ya kuchoma

Sisi wa kwenye daladala sasa!... Tunauziwa sumu za panya,dawa za mende, dawa za fangasi!. Mwishowe tunapewa na vipeperushi vya waganga wa kienyeji!.

Machinga mungu anawaonaa!..
Kuna uhusiano gani kati ya kichwa cha habari ulichokiandika na hizo kalimati ulizozielezea?
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,266
2,000
Machinga Wanaangalia Sana Soko La Bidhaa Zao Lilipo, Japo Wanakosea Kanuni Ya Kumuuzia Kila Mtu Bidhaa Huenda Anaihitaji. Sasa Wakibagua Na Kuhukumu Wateja Watauza Kidogo, Kwenye Madalala Nako Magazeti Yanahitajika Sawa Na Dawa Za Panya, Mende Kuhitajika Kwenye V8, BWM.
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,938
2,000
Hahaha, wewe mtoa mada ni mtambo sana.
Nilikuwa sina furaha tokea asubuhi lakini uzi huu umenichekesha sana sana.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom