Habari za Jumapili wakuu;
Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu.
Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti...
Kuna ile una ambiwa kapime mchele vikombe 2 wewe unaweka 3 ili ubaki ule na kiporo kesho yake mchana au asubuhi ili tu usile ugali 😂😂 dah nimekumbuka mbali
Wale watoto ni hatari bhn, kwa kweli nikiona dera akili inaruka hata kama sio mzuri sana.
Kuna ile staili ya kulibana upande mmoja, ama ile ya kulibana kwenye kwapa, sasa hizo zote tisa kumi ni...
Wakuu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Katika maisha kila mtu anakuwa anakuwa inspired na watu flani either kimtazamo au life style yao inasababisha mtu kuvutiwa nao. Mfano mzuri ni humu JF...
Kuna michango ya Wana ndugu nilikua naichangisha,huu mwezi wa 6 tarehe 30 inabidi niikabidhi,aisee bby wangu si akafiwa na mama ake na inabidi watoe michango akawa na akiba kidogo Sana ikabidi...
Nipo safarini nakuja Dar kuwapa hi na utalii wa ndani Buguruni moja hiyo mwenyeji ajitokeze basi coz mi si mwenyeji sana katika hili jiji zaidi ya Mwanza
Nilikuwa kwenye ishu zangu hapa Dar, nikakutana na wanaJF 4 pm kwa pamoja wakaniomba tukutane nimewakubalia. Wanaume watatu na mwanamke mmoja, nashukuru kukutana na nyinyi ila nyie ni mabahili...
Nina siku kadhaa hapa Moro ,si mwenyeji saaana,naomba wenyeji wanielekeze sehemu ya kutoka out na kutuliza mawazo ili kesho niwe na ari ya kupokea form za maombi ya sensa na kuzisaini pale ofisini...
Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua
Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy
Utafanyaje ...
kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime...
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli
Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
Wale ambao tutafika mbinguni tukiwa tumechoka tukutane hapa
1. Kumnyandua mke wa mjomba tumbo moja na mama,staisahau hii dhambi, Mjomba aliniomba nimpe kampani mke wake wakati akiwa amesafiri...
Habari wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kautafiti kangu kasiko rasmi hasa nikiwa kwenye daladala au kagari kangu ka bei mbaya, nimeshuhudia wengi wa wadada /wamama (sio wote...
Jamani ndugu zetu Wachagga wana majina yaliyo enda shule, na ili uyaelewe shurti uwe msomi.
1. Beautiful Flower Shayo
2. Godlisten Shirima
3. Jesus is God Massawe......
Hebu na wewe tupia jina...