JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
......twende bakurutu, live band Jb Belmont. charminglady nakusubiria, Slave baki ulinde nyuma tutaenda na wewe siku nyingine!!!!!!
4 Reactions
105 Replies
5K Views
Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua...
15 Reactions
75 Replies
2K Views
Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa Naomba ushauri wa kina, me ni...
0 Reactions
4 Replies
343 Views
  • Closed
Hello Rebeca nimetokea kukupenda naomba uwe mpenzi wangu
15 Reactions
121 Replies
4K Views
Kichwa cha habari knajtosheleza, tunasubiri shuhuda kutoka mitaani Je mitaro inayopatikana hapo mtaani kwako ipo kwenye hali nzuri au inahitaji kuzibuliwa tutoe tope?
2 Reactions
10 Replies
458 Views
Hii imekaaje wataalamu wa mambo ya kiroho? Uzi tayari.
1 Reactions
8 Replies
723 Views
Ni usiku ambao hauchi, kulala hulali, usingizi hauji. Leo nimekuja sehemu imebidi nilale, kuna mbu na joto balaa, hakuna fan, hakuna dawa za mbu, ni kaz juu ya kazi. Nimekumbuka sana nyumbani...
3 Reactions
8 Replies
588 Views
Muda mrefu naboreka sana kwa kukosa kampan.... nilizoea sana kampani za wanafunzi wenzangu nilipokuwa nasoma, yani tangu nimalize kusoma sina marafiki wa kutembeleana nao, kutoka wala kuzurura...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Ladies & Gentlement habari za usiku!!!!!!! Jamani mie kuna mambo nishayafanya yani aibu zake siwezi kusahau!!! Miaka ya juzi kati hapa ndo nimejiunga na chuo,jumamosi moja nikaingia zangu mtaani...
9 Reactions
125 Replies
12K Views
Watanzania tulio wengi ni wajuaji wa vitu tusivyo vijua njooni TUDANGANYANE KUHUSU makomandoo wa JWTZ Story yeyote ya mtaani uliyoisikia kuhusu wao Note:motto wao ni PAIN IS MY MEDICINE
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Nawasilisha!? Dini inakataza lakini watu milioni 12 Tanzania wanakunywa Bia Sana au Kidogo ili wasilewe!? Mie ni mjinga nataka kujua kitu toka JF
6 Reactions
85 Replies
3K Views
.............
8 Reactions
103 Replies
6K Views
Hivi tukifanya Prank hizi kwa wake zetu wa Kiafrica watacheka ama kulia? Tazama Video hii
1 Reactions
1 Replies
393 Views
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakuu Mimi natumia Sim card moja tu, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishangaa Ila Kiukweli naenjoy kuwa na Line moja tu
0 Reactions
8 Replies
498 Views
Salute Comrades.. wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua.. Cc. Mwl.RCT Otorong'ong'o -Da'Vinci 1...
2 Reactions
118 Replies
8K Views
.............
10 Reactions
67 Replies
5K Views
............
7 Reactions
138 Replies
8K Views
Back
Top Bottom