Zunguka kote!
Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!
Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua...
Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe Kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni...
Kichwa cha habari knajtosheleza, tunasubiri shuhuda kutoka mitaani
Je mitaro inayopatikana hapo mtaani kwako ipo kwenye hali nzuri au inahitaji kuzibuliwa tutoe tope?
Ni usiku ambao hauchi, kulala hulali, usingizi hauji.
Leo nimekuja sehemu imebidi nilale, kuna mbu na joto balaa, hakuna fan, hakuna dawa za mbu, ni kaz juu ya kazi. Nimekumbuka sana nyumbani...
Muda mrefu naboreka sana kwa kukosa kampan....
nilizoea sana kampani za wanafunzi wenzangu nilipokuwa nasoma, yani tangu nimalize kusoma sina marafiki wa kutembeleana nao, kutoka wala kuzurura...
Ladies & Gentlement habari za usiku!!!!!!!
Jamani mie kuna mambo nishayafanya yani aibu zake siwezi kusahau!!!
Miaka ya juzi kati hapa ndo nimejiunga na chuo,jumamosi moja nikaingia zangu mtaani...
Watanzania tulio wengi ni wajuaji wa vitu tusivyo vijua njooni TUDANGANYANE KUHUSU makomandoo wa JWTZ
Story yeyote ya mtaani uliyoisikia kuhusu wao
Note:motto wao ni
PAIN IS MY MEDICINE
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote...
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.