Cross Examination Day;
Wakili:
Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu.
Mkuu wa Wilaya:
Shahada
Wakili:
Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi
Mkuu wa Wilaya:
Mwakilishi...
Nakumbuka tulikuwa high na ilikuwa inanyongwa nyingine, bapa moja chali na lilikuwa limeagizwa lingine na maji kubwa, na tukiwa high tunautazama ulimwengu kwa chini. Soga za hapa na pale ila hii...
Nazungumzia kama vile umegusa upupu au mmea au mdudu yeyote anayewasha halafu ukaamua kuwa katili kwa kutojiwasha. Nini kitakutokea?!!!
Karibuni kwa michango🙏🙏🙏
LEO natimiza post ya 1000 ndani ya jf kwa siku 58 tangu nimejiunga.
Najua ambavyo post zangu zo ni kichefuchefu kwa members wengi humu. Lakini mie ni kilaza najijua. So huwa naandika kwanza...
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........
Hakuna Amani tena!!
Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Wasee mko musuri!
Mada iko open, taja mambo unayoyakumbuka makubwa ya kipekee uliyowahi kuyafanya utotomi mpka wazazi au wakubwa kiujumla wakajivunia wewe.
Nianze namimi.
1. Nakumbuka hili...
Asalam aleikhum.
Leo tulikuwa na meeting sehemu flani huko posta. Watu walikuwa wengi zsidi ya 50 tukijadiliana mambo mbalimbali.
Mimi nlifika kwa kuchelewa kidogo sababu ya Traffic Jam.baadaye...
Napenda niwape kwanza salamu toka kwa Mark Twain Gerald jamaa yangu toka Finland. Nilikuwa huko nmerudi siku chache zilizopita. Huwa anapenda kuingia ingia JF asome threads za English acheke sana...
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20...
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza.
Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine.
Unamalizanaje naye.....unamkwepa...
Wagwan rasta.....selasiii i,i & i in the name of jah, i salute you wana zengo wa jamii forum.Leo nataka kuongelea kuhusu imani ya kirastafari na kwanini nilichagua kuwa rastafari japo sijazaliwa...
Baada yakusoma maandiko mbalimbali ya umughaka humu jukwaani,na kuvitazama kwa umakini visa vyake,nimegundua tunafanana kwa vingi
1. Ulofa
Mimi ni lofa sometimes hasa kwenye kudai hela,naweza...
Habari la jioni dada zangu wapendwa.
Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu.
Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au...
Naaaaaaam
Ndugu wanajamvi,
Kuna huyu mjomba aitwaye Kiranga, huwa anasema kuwa hamwamini Mungu.
Msimwamini hata kidogo maana anaigiza aisee.
Juzi nilipandisha uzi jamvini hapa unao husu...