Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima.
Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani...
Habari wana JF
Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela...
Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.
Na ana mtoto. Jana tu out...
Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!!
Moderator...
Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu...
Leo itakapofika ile mida ambayo walokuwa wanafanya mtihani wa taifa leo wanakuwa wameshafumba macho yao na tumebaki sisi tu ambao umri wetu una alama ya kujumlisha
Yaani wenye ule umri wa kuanzia...
Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu.
Inasemwa simu...
Wananzengo, habari?
Disemba ndio hiyo tunaikaribia, ikiambatana na sikukuu mbali mbali za mwisho wa mwaka.
Mimi niliyetangulia huku kijijini, shamra shamra ni nyingi sana; nipo huku na mama...
Maandishi haya si mageni jijini, labda kwa mgeni jijini. Ila kwa wanyeji wa jiji, ni maandishi tuliyoyazoea
"Ntakutumia kuna ishu naiskilizia"
"Shemeji uko wewe peke yako"
"Lini nije kwako...
Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake.
Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au...
Habari ya muda huu ndugu zangu? Samahani, kwa aliyepo mkoa wa mwanza, kuna lodge zipi za bei nafuu?
Maana ndo nimeshuka stendi muda huu na ata sielew nianzie wapi, Msaada wenu naomba wakuu,
Mie nilianza rasmi kuvuta bange miaka ya 2001.
Iko hivi:
Baada ya kufeli darasa la saba mwaka 1998 (sababu sikuwa na akili darasani) kipindi hicho mzee akamind sana ikabidi nisepe zangu mikoani...
Kama kichwa cha habar kinavyosema nazungumzia salam hii ndio salam bora na ya uungwana zaid kuliko zote tanzania salam zingine zimejaa ubaguz mkubwa
Nashukuru mungu salam hii inakua kwa kas...
Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa.
Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe...
Wakuu,
Mwana kang’oa pisi kali
Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.