Kiukweli mimi nimekuwa mtu wa kuchukizwa na vitu vidogo vidogo sana kitu kama like za min -me na raraa reree zinanikera sana sijui kwanini unaweza kufungua kwenye timeline yako ya jamii forum...
Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu.
Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana...
Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana.
Wasalaam
Fimboyaukwaju
Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2...
Robert Heriel Mtibeli you are just a key board warrior, a typing merchant🤣
Eti sijui taita wa fasihi, my foot
Extrovert n fundi nyundo wa magari anajidai eti ana show room ya toyota🤣
adriz...
Picha za majengo na maeneo mbalimbali ya jiji la DAR ES SALAAM zikionesha mandhari ya usiku.
DAR ES SALAAM ni ndogo, usiku hutanuka.
Peleka utamu nyumbani
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree
Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me
Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani.
Leo pia...
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya...
Qn: Is this real or fake?
Transcript Analysis: A Revealing Immigration Marriage Interview
Below is an analysis of a transcribed immigration marriage interview, highlighting key moments and...
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.
Namimi nikiwa moja...
Nawasalimia wanaJF kutoka Somalia, hakika Tembea uone. Tanzania kwetu kizuri, Huku mabomu yanauzwa sokoni kama viazi sokoni. Mungu ibarikia nchi yetu Tanzania.
Hii ni fimbo ya ajabu,kwanza ndefu si ndefu,nene si nene,inachapa kwa mbele na kwa nyuma,na inatema balaa,ukiruhusu ikutemee ni lazima utavimba,na inapochapa ni lazima utalia kwa raha,na inachapa...
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika...
Kuna hii situation baada ya kukosa kazi kila unaempigia simu kwaajiri ya msaada anakua hapokei simu kama vile wote wameambizana kutokukupokelea simu.
Roho yangu ndo imeweza kufunguka na nimeweza...
Wazungu wanakitu kinaitwa intuition, ubonge ambao kila siku janabi anauponda leo umegeuka kuwa mokozi wa Yule bwana hii ndio maana ya za kuambiwa changanya na zako.