JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu zangu, nina mapumziko ya wiki mbili na sasa nimebakiza siku 6 tu. Ninataka kwenda Zanzibar kumalizia mapumziko yangu kwa muda wa siku 3. Pamoja nami, yupo shemeji/wifi yenu na mwanangu wa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Does anyone knw somone who can massage me here in arusha plz
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Hivi kwa mfano umepata nafasi ya kuchagua dhambi inayotakiwa kuhalalishwa,ungechagua ipi?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi...
13 Reactions
217 Replies
18K Views
Nimejaribu kuondoa wino niliochovya mara baada ya kupiga kura, lakini mpaka leo bado upo tu, sasa NEC mtuambie huu wino unatoka baada ya siku ngapi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Teacher asked! You know the importance of the period? Kid said!Yeah , once my sister said she missed one!, my mum fainted, Dad got heart attack and our driver disappeared
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba za kupanga bwana...! Jamaa kapata demu akampeleka gheto. Nyumba yenyewe haina Ceiling board..! Katika kufanyiana Romance demu Akachanganyikiwa, akaanza kuvua nguo fasta fasta, ikafikia...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
wasalaam wana chit-chat Najua unajua ila me nakujuza kuwa muda huu huu unaposoma hii thread kuna mtu anakata roho mda huu huu kuna mtu anafanyiwa upasuaji muda huu huu kuna mtu yuko chooni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna vijana wa kimasai jirani zangu hapa Naibili wamezoea sana kunitembelea. Kwenye kipindi cha uchaguzi kila siku walitaka kujua nini kinaendelea kwa sababu ni wapenzi wa chadema/ukawa. Kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I was a very happy person. My wonderful girlfriend and I had been dating for over a year, and so we decided to get married. There was only one little thing bothering me... It was her beautiful...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jioni wanaJF, Poleni na mahangaiko ya kila siku. Ngoja niende direct kwenye mada. Jamani mimi nina mpenzi wangu flani ivi last week tar 22 ilikua birthday yake kutokana na mimi kuwa...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Acha kabisa kufanya mchezo na Bayern! Arsenal si walijifanya kupapasa masharubu ya Bayern pale Emirates kumbe nao wanawalia taiming pale Munich! Tano si mchezo! LOWASSA 0 - 5 MAGUFULI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wanandoa walikubaliana kuwa, wakiwa pamoja na watoto au watu wengine, na wakataka kwenda kupeana ULODA chumbani waseme wanataka kwenda KUPIGA SIMU Basi siku moja baba akawa na hamu akamtuma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mama: Umeleta kiberiti? Mtoto: Ndiyo mama Mama: Ni kizima? Mtoto: Ndiyo, kwani nimejaribu njiti zote zimewaka!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BREAKING NEWS FA imefuta matokeo ya mchezo kati ya Chelsea vs Liverpool. Mchezo haukua huru na wa haki, Klopp alijitangazia ushindi wa kishindo kabla muamuzi hajamaliza mpira. Hivyo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu you must believe this! Yaani katika mizunguko yako ya maisha ni bora ukutane na mzungu lazima mtaelewana tu. Wazungu wakijua wewe mbongo hujui kiingereza atajitahidi hata kuongea kiswahili...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndiyo nimejua leo... kumbe baby baby nyingi humu wazee wanasababu zao... by the way!! nafurahia kuwa na mpenzi wangu shansarie.. my advice to 'Valentina'.... settle!! tulia upendwe. my...
10 Reactions
128 Replies
12K Views
namini sikuzote ukweli unapobainika kinachofata ni aimbu mana ukweli utakua umejulikana na hakuna pakujifichia mana kila mahala patakuwa hapatoshi mimi namini wegine wanachekelea ila...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Mm ni very outgoing..napenda Sana kusafiri na kutoka ikifika weekend..tatzo linakuja kua I know only few people na Kwa wale watokaji mnajua how boring it can gt kutoka mwenywe..pili am...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom