Muda huu kinafanyika

Muda huu kinafanyika

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
447
Reaction score
233
wasalaam wana chit-chat

Najua unajua ila me nakujuza kuwa muda huu huu unaposoma hii thread kuna mtu anakata roho

mda huu huu kuna mtu anafanyiwa upasuaji
muda huu huu kuna mtu yuko chooni anakata Gogo
muda huu huu kuna ajali inatokea
muda huu huu kuna unapoisma hii thread kuna watu wanagegedana

muda huu huu kuna mtu ananyoa vuz•

endeleza yako,hii si chit-chat
 
Back
Top Bottom