ludoking Senior Member Joined Oct 5, 2008 Posts 124 Reaction score 71 Nov 4, 2015 #1 Mama: Umeleta kiberiti? Mtoto: Ndiyo mama Mama: Ni kizima? Mtoto: Ndiyo, kwani nimejaribu njiti zote zimewaka!
Mama: Umeleta kiberiti? Mtoto: Ndiyo mama Mama: Ni kizima? Mtoto: Ndiyo, kwani nimejaribu njiti zote zimewaka!
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,792 Nov 4, 2015 #3 teh noma
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,471 Reaction score 17,977 Nov 4, 2015 #4 Anakula bakora then analala njaa.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Nov 4, 2015 #5 Hivyo wamebaki na kasha tu!