Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
  • Redirect
Mahitaji Unga wa ngano 1/4 kilo Maji ya baridi kiasi Chumvi Mafuta Jinsi ya kutayarisha Changanya unga,chumvi na maji taratibu mpaka ushikamane na utengeneze donge usiwe mlaini wala mgumu.Uwe...
6 Reactions
Replies
Views
Viamba vya upishi 1. Manda za sambusa kiachi 40 -50 2. Mafuta ya kukaangia lita moja 3. Nyama ya kuku iliyosagwa kilo moja 4. Kitunguu saumu na tangawizi iliyosagwa kijiko kimoja 5...
2 Reactions
59 Replies
71K Views
Mahitaji: 1. Kuku aliyeandaliwa 2. Tui la nazi 3. Kitunguu thomu 4. Kitunguu maji 5. Pilipili mboga 6. Pilipili manga/mbuzi karoti Upishi: Mchemshe kuku wako na uweke pilipili mbuzi, na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahitaji 1)Chicken breast(kata vipande vidogo kiasi) 2)pilipili manga 3)mayai 4)chumvi kiasi 5)unga wa ngano 6)Mafuta ya kupikia Namna ya kutaarisha 1)Weka chumvi katika chicken breast pamoja...
9 Reactions
60 Replies
13K Views
Habarini wadau, Huwa sipatikani kwa urahisi kwenye hili forum la JF Chef. Katika pita pita zangu niliona habari ya kuvutia kutoka Marekani. Kama mjuavyo, kuna baadhi ya nchi duniani zinazo wapa...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
RECIPE SAFI SANA YA DENGU HIZI ZA AINA YAKE MAHITAJI 240gram Pigeon Peas ( Dengu) 1/4 tsp Turmeric (manjano) 720 gram maji masafi 3 kijiko kikubwa cha chakula samli (Ghee) 1 kitunguu kikubwa...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Je unatumia gas kwa kupikia?Tafadhali soma ujumbe huu na uchukue tahadhari ili isitokee kwako. Hili linaweza kuwa ni kosa la kawaida katika kila nyumba.JINSI ILIVYOTOKEA.jiko la gas lilikuwa...
8 Reactions
11 Replies
8K Views
Ingredients that are used to make this extremely effective potion are proven to help in the treatment and prevention of dementia and cancer. Science has proven the powers of turmeric in the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itawajia ivi punde,
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Lunch idea... Mchuzi wa kuku wa nazi Unahitaji: Kuku wa kienyeji 1 Vitunguu maji 3 (sliced) Thomu tbs 1 (iliyotwangwa) 1 tsp corriander powder Nyanya 2 kubwa (chopped) Curry powder 1 tsp Nyanya...
2 Reactions
10 Replies
12K Views
Kuna kitu nimewahi nunua ila sijakipata tena wala kujua nitapata wapi. Wengine wanaita ubuyu wa embe, wengine achari ila ni kama maembe yakatwe kidogodogo yakaushwe na kuwekwa viungo na rangi kama...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Habari wana JF. Mwenzenuu nimeamua kupunguza safari za kwenda baa kunywa bia na sasa nahitaji kama kuna mtu anafahamu jinsiya kutengeneza bia nyumbani anifahamishe ili niwe natengeneza tu...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Habari wapishi wazuri, Naomba kufundishwa namna ya kupika meat balls
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ni njia zipi zunatumika katika kuaandaa clips nzuri na yenye kuvutia. Isiyoungua. Hasa clips ya viazi.
0 Reactions
8 Replies
16K Views
fuata hatua zote za kupika pilau lakini badala ya kutumia jiko wewe tumia rice cooker. Kama kuna sehemu sijaeleweka jisikie huru kuniuliza. Enjoy pilau lako
0 Reactions
19 Replies
15K Views
  • Redirect
Msaada jinsi ya kupika ubuyu huu wa kisasa. ( kashata za ubuyu ).
0 Reactions
Replies
Views
Mapishi ya wali wa nazi: VIFAA Mchele kg 1 Nazi 2 au pkt 2 nazi ya maji Chumvi kijiko 1 cha chakula Jira kijiko 1cha chakula Maji 1/2 lita JINSI YA KUANDAA Osha mchele vizuri,chuja...
1 Reactions
18 Replies
27K Views
KEKI ISIYOOZA. Chukua kiasi kikubwa cha "UCHANGAMFU". Angalia kisiwe kikubwa sana. Changanya na bakuli lililojaa "UKARIMU". Ongeza bakuli la "WEMA" Changanya na kijiko cha "HURUMA" Koroga vyote...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimeona hii kwa post moja nikataka kujua unga wa udishe ni upi na nani ashawahi utumia?
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Male Chef/Mpishi is needed in a restaurant located outside of town. Must speak English and Swahili fluent. Know how to cook different food both local and international, pizza is an advantage...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom