JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

The claim that Winnie Odinga declared James Orengo as her party leader and said ODM was “sold to a thief” is unverified and likely fabricated. There is no credible evidence she made such remarks. While internal differences exist within Orange Democratic Movement after Raila Odinga’s passing, Winnie has maintained she remains in ODM and supports internal reforms—not exit. Verdict: FALSE / MISLEADING
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana. Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe ufuatao '"Afrika Ina wajinga wengi sana, mtu anakunywa pombe na anakula hovyo halafu anakufa akiwa bado na miaka 25 watu wanasema Mungu amemuita!!! Mungu anawezaje kumuita mtoto mdogo namna hiyo?... Mbona wengine hawaitwi?... Mimi sio mjinga siwezi kufa kijinga namna hiyo" - Yoweri Museveni je ni upi uhalisia wa chapisho hilo?
Mzee amenena maneno ya makufuru dhidi ya mpigania haki Lisu ambaye wmezuiliwa gerezani bila kosa lolote. Leo mzee Wasira ameropoka na kusema wanamzuia kwakuwa hataki maridhiano. Soma mwenyewe hapa chini. "Tunapozungumzia maridhiani tunamaanisha Makubaliano ya kitaifa, kiutendaji na amani ya kudumu, sasa wewe ukikataa inaonyesha siyo mtu mzuri kwetu na kwenye taifa ni hatari. Kwaiyo hupaswi kuwa huru, utakaa chini ya uangalizi milele"- Amesema Wasira
Kumekuwepo na chapisho la video kwenye mtandao wa Facebook likidai kuwa Rais wa Iran Masoud Pezeshkian akiwa pamoja na watendaji mbalimbali wa serikali wakiwemo mawaziri, walionekana wakiendesha baiskeli katika mji wa Isfahan wakielekea kukagua miundombinu kwenye maeneo ambayo yalikabiliwa nma mashambulizi makali ya vita. katika hilo Chapisho hilo lilisambaa likiwa na ujumbe unaosema: "Rais wa Iran 🇮🇷 akiwa na watendaji mbalimbali wa Serikali, wakiwemo mawaziri, wakielekea kwenye ukaguzi wa miundombinu ndani ya mji wa Isfahan kwa kutumia usafiri wa baiskeli. Ikumbukwe mji huo ni miongoni mwa miji iliyoshambuliwa sana." Hata hivyo, kupitia ufuatiliaji wa kidigitali kwa kutumia njia ya manneo mhimu na vyanzo vingine vya habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…