JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Emmanuel Nchimbi, amefanya ziara ya kushtukiza na ya faragha usiku wa manane katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ziara hii imefanyika katikati ya siku za mwisho za eda ya Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake, huku ikiwa na lengo la kutoa faraja ya kibinadamu pamoja na kuondoa taharuki na maswali mengi miongoni mwa wananchi baada ya ukimya wa Dr. Nchimbi wa takribani mwezi mmoja tangu kuibuka kwa uvumi wa kujiuzulu kwake. Ili kulinda faragha yake na kuepuka vyombo vya habari, Dr. Nchimbi aliwasili Ikulu katika mazingira ya giza nene bila mpango wa kupigwa picha rasmi, hatua...
Tunachokijua(What we Know): Mubarak Munyagwa Sserunga, popularly known as "Mugati gwa Bata," is a Ugandan politician and former Kawempe South Member of Parliament. He is a lawyer by training and previously served as Mayor of Kawempe Division from 2011 to 2016. In July 2025 he was sworn in as leader of the Common Man's Party (CMP), a rebrand of the dormant Uganda Economic Party, and has since declared his intention to run for president in the 2026 Uganda general election, positioning himself as a challenger to President Yoweri Museveni. The CMP's symbol is a silver serving tray, chosen to represent the idea that "every Ugandan should have a share of the national cake." This is the origin of the tray-of-rice imagery associated with him...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa tangazo rasmi likiwataka waombaji wote wa ajira mpya serikalini kurekebisha taarifa zao kwenye mfumo wa Ajira Portal kufuatia maboresho makubwa yaliyofanyika. Hatua hii inalenga kuhakikisha waombaji wote wanakidhi vigezo vilivyowekwa wakati wa mchakato wa maombi ya kazi pindi nafasi zinapotangazwa. Katika taarifa iliyotolewa jijini Dodoma na Katibu wa Sekretarieti hiyo, Bw. Juma Selemani Mkomi, imeelezwa kuwa mfumo huo kwa sasa hautambui tena kiapo cha kisheria (affidavit). Kutokana na mabadiliko hayo, waombaji wanawajibika kuhakikisha kuwa vyeti vyao vya kuzaliwa, vya sekondari, vya taaluma, na kitambulisho cha NIDA vina majina matatu yanayolingana kikamilifu bila tofauti ya...
Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Facebook likielekeza Kuwa Dawa Ya Kufubuza Ukimwi ARV Inaweza Tumika Kutibu Ugonjwa Wa Homa ya Ini.Jamii check je Ukweli wa Hoja Hizo ni zipi. Mfano Wa Chapisho Hilo Ni kama Unavyo onekana... Sio kila anae tumia (ARV) Ni Muhathirika wa virus vya Ukimwi. "HAPANA" Endapo utagundulika na Homa ya ini utatumia ARV vile vile...👇 Dawa kama Tenofovir au Lamivudine, ambazo mara nyingi hutumika kufubaza VVU, Hutumika pia kutibu Homa ya Ini (Hepatitis B).... Hii ni kwa sababu dawa hizi huzuia virusi vya Hepatitis B kujizidisha mwilini, hivyo kulinda ini lisiharibiwe zaidi... Homa ya ini ni hatari kwani huambukizwa hata kwa njia ya jasho kwa kugusana Tu...☠️ PIMA: Hepatitis B, Pata chanjo dhidi ya...
Tunachokijua Claim A Facebook post claims that President Yoweri Museveni suffered a heart attack, collapsed while giving a speech and was rushed to hospital, where doctors reportedly said he had a serious condition with little chance of recovery. The post is accompanied by an image purporting to show First Lady Janet Museveni and CDF Gen. Muhoozi Kainerugaba attending to a bedridden Museveni. What we know •Museveni’s last verified public physical appearance was on September 17, 2026, when he presided over the groundbreaking of the 320-million-litre Kampala Storage Terminal in Mpigi District. At the event, Museveni delivered the speech referenced in the Facebook post(last speech), discussing Uganda’s petroleum imports, fuel prices...
Rais wa marekani Donald Trump amewasili leo mapema nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa marekani Barack Obama kufutia Taarifa za kifo cha mbwa wake mpendwa Sunny aliyekuwa akiishi ikulu ya White House kwa kipindi chote Obama alichokiwepo madarakani. Hata hivyo familia ya Obama ilisema mazishi ya Mbwa huyo yatafanyika jumapili hii 20 Sept 2026 nyumbani kwao. UHALISIA WA TAARIFA HII NI UPI?
Waraka unaosambaa mitandaoni unadai kuwa Teachers Service Commission (TSC) imesitisha mara moja mpango wa kuwahamisha walimu waliohitimu kutoka shule za msingi kwenda Junior Secondary School (JSS). Waraka huo, wenye tarehe 8 Septemba 2026, una kichwa “Discontinuation of the Teacher Deployment Process” na unadai hata walimu waliokwisha kufanya verification ya vyeti vyao hawataendelea na mchakato huo. Africa Check Verdict: FALSE - Waraka huo ni Fake TSC imesema haikutoa waraka huo na imewataka walimu kuupuuza. Mnamo Septemba 10, TSC iliutaja waraka huo kama “FAKE”, ikisema taarifa kuhusu kusitishwa kwa deployment ni ya kupotosha. Jambo muhimu zaidi ni kwamba portal rasmi ya TSC ya kuomba deployment kutoka Primary kwenda Junior...
Graphic inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alisema akiwa Marekani kwamba alikuwa hajisikii vizuri na kwamba huenda alikuwa amewekewa sumu kabla ya kuondoka Kenya. Graphic hiyo inahusisha madai hayo na serikali ya Rais William Ruto na kudai kuwa Gachagua alikuwa akipata nafuu akiwa Marekani.
Picha inayosambaa mitandaoni inamuonyesha Waziri wa Jinsia, Utamaduni na Huduma za Watoto, Hannah Wendot Cheptumo, akiwa kwenye poster inayodai kuwa anajiandaa kuwania nafasi ya Gavana katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Poster hiyo yenye nembo na rangi za UDA imeandikwa “Hon. Hannah Cheptumo – Governor 2027”, jambo ambalo limeibua madai kuwa huenda Waziri huyo ana mipango ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha ugavana. Hata hivyo, Cheptumo mwenyewe amekanusha madai hayo na kusema poster hiyo si taarifa sahihi kuhusu mipango yake ya kisiasa. Cheptumo kwa sasa anahudumu kama Cabinet Secretary, baada ya kuteuliwa katika Baraza la Mawaziri mwaka 2025.
Tunachokijua Claim A picture Circulating on social media shows Kampala’s downtown area heavily flooded after the heavy downpour on September 17, with people appearing to sail through the city in boats. What we know •Kampala experienced heavy rainfall on September 17, which caused flooding in several parts of the city, including areas around the downtown business district. read here. •We traced the photo used in the viral post to its original source using Google reverse Image search and the Visual Matches found that it was extracted from an authentic Video by Galaxy FM that shows the real footage of the flooding in Kampala on September 17. Watch here. Original Image from the Galaxy FM Video. Altered Image •The image was...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kutengeneza video za AI huko mitandaoni, huku wengine wakifika mbali kwa kumvua nguo rais wa nchi, sasa nataka niwakomeshe hao watu. Wakati wa Rais Nyerere, mwinyi, mkapa, na kikwete aya mambo hayakuwepo kabisa. Ila naona Rais Samia mmemfanya kama Bibi yenu, Sasa naomba mnisaidie kuleta majina wa hao wakosa adabu zawadi nono itatolewa kwa atakaye leta jina.
New documents have confirmed that Kimilili MP Didmus Barasa was never a student at Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) and did not earn a degree from the institution in 2008. THE FACTS: Official Letter: In a letter dated September 14, 2026 (Ref: JKU/2/66/049), JKUAT Registrar of Academic Affairs, Dr. Aggrey Wanyama, confirmed to the Consumers Federation of Kenya (COFEK) that Barasa's name does not appear in the university's student or alumni records. No Graduation: The university confirmed it did not hold any graduation ceremony in May 2008—the date indicated on the certificate Barasa allegedly presented. "NOT GENUINE": JKUAT's verdict on the Bachelor of Electrical and Electronic Engineering certificate is...
Tunachokijua Claim: A Facebook post claims that Gen. Muhoozi Kainerugaba endorsed Prince Edward Rukidi Kijanangoma Nyabongo I as the new Omukama of Tooro. What we know: •TRUE. On September 15, Muhoozi Posted on X referring to Edward Rukidi Nyabongo I as the “new Omukama of Tooro” and wished him a long reign. He also used the traditional expression “Hangariza Agutamba.” translating to praise/honor/hail the king - "Agutamba" - He who cures. •His comments came after the Tooro Kingdom Supreme Council endorsed Edward Kijanangoma as the successor to the late King Oyo on September 15. Read Here. •The succession process has faced opposition from some members of the late King Oyo's royal family, including Queen Mother Best Kemigisa and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…