JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

HEADLINES RIP 😭 KING KONG Rapa na mSanii mkongwe wa Hiphop apa nchini Chidd Benz amefariki dunia mapema jioni ya Leo kwenye hospital ya rufaa ya Muhimbiri .. Kwa ugonjwa wa Kansa ya Koo. Vyombo mbalimbali vya habali ikiwemo WASAFI Media wamedhibitisha na kulipoti taarifa hii.. RIP Chidd Benz tutakukumbuka Kwa nyimbo zako Kali na kuzienzi .πŸ’”πŸ’”πŸ™πŸ˜­ Dotcome Dotcome.
Jeshi la Polisi limekamata kilo 50 za dawa za kulevya ndani ya jengo linalomilikiwa na Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, katika operesheni ya kushitukiza iliyoendeshwa mwishoni mwa wiki. Tukio hilo limeibua maswali mazito kuhusu uhalali na maadili ya baadhi ya viongozi wa kidini nchini, hususan kwa Gwajima ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amejitokeza kama sauti yenye ushawishi mkubwa katika siasa na mijadala ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni SACP Mtatiro Kitinkwi dawa hizo zilipatikana katika moja ya vyumba vya kanisa hilo vilivyokuwa vimefungwa kwa muda mrefu. Uchunguzi wa awali unaeleza kuwa chumba hicho kilikuwa kikiendeshwa kwa siri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…