Wakuu nimekutana na Taarifa huko mtandaoni inayoeleza kuwa;
"=AZYgKkVELthfF2or8cz9hZgtDA2u2RiBdMfdI8maVSNICA04cSYXXbdXRplfrWQvl_7jXQwbtQeqJ-AHtoRziO5eE5VYJ6t4oaVOH482QFJ6S9hWcWKyFVkANFBRfLwvaufqlpK135He2ochFj0XJkUCngvoo0g2yoYg_jBY6fBEDX62nxo0jsmwKYNFNTfLS8Y1EhB4LKO4uYtMX6BoU9IN&tn=*NK-R']#Kesi inayoikabili Tanzania juu ya mauwaji ya halaiki, rasmi ilianza kusikilizwa kwanzia tarehe 19 January ,na mpaka leo 21 January ambapo muafaka wa majibu yote umetolewa chini ya majaji wa 4 kuhusu swala la Hukumu hiyo, ambapo kila kitu pamoja na ushahidi umeonyesha kuwa ni kweli kila kila kitu kilichotokea siku iyo ya October 19.
Nukuu: kila yoyote aliye husika katika mauwaji ya halaiki lazima sheria itafata utaratibu mpaka kumkamata lasi hivyo...