JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kumekuwepo na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Jeshi la Iran kupitia Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limemnyonga Jenerali Esmail Qaani, ambaye ni kiongozi wa Kikosi cha Quds. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyochapishwa na ukurasa wa Smart tv habari sambamba na Wadada Na Mastory's ya viongozi ndani ya Iran walianza kumtilia shaka Jenerali Qaani baada ya kuokoka mashambulizi kadhaa yaliyodaiwa kufanywa na Marekani na Israel, ilhali baadhi ya makamanda waliokuwa karibu naye walifariki katika mashambulizi hayo. Ripoti hizo zinaeleza kuwa tuhuma zilianza kuibuka zikidai kwamba huenda Jenerali Qaani alikuwa akishirikiana kwa siri na shirika la ujasusi la Israel, Mossad. Madai hayo...
Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania Pia ufutailiaji zaidi umebainisha kuwa chombo cha Habari cha mwananchi kilichapisha chapisho rasmi kwenye mtandao wake wa Instagram siu ya tarehe 13 August 2024 kikiwa na Kichwa kinachosema Polisi ,chadema shughuli ngumu. Katika ufuatilaji huo ulibanika kuwa Kichwa kikuu pekee ndicho kilibadilishwa; vichwa vidogo na picha zote ni sawa katika majalada yote mawili. Katika hatua nyingine mnamo mwaka 2024 chombo cha Habari cha Mwananchi kilichapisha nukuu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…