JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, ameisifu Katiba ya mwaka 1977 huku akitoa rai kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema, kuheshimu na kushiriki kikamilifu kwenye chaguzi kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Padri Kitima alieleza kuwa, licha ya kuwepo mijadala kuhusu katiba mpya, Katiba ya sasa bado ina uwezo wa kuhakikisha uwazi na ushiriki wa kila mtu katika siasa. “Katiba hii imerekebishwa mara kadhaa na bado inatosha kutuongoza kushiriki siasa kwa ufanisi. Muhimu ni kuielewa na kuzingatia ili kuimarisha demokrasia yetu,” alisema. Aidha, alisisitiza kuwa msingi wa Katiba hiyo uliwekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. “Hii ni Katiba nzuri iliyoundwa na Nyerere, mtu wa Mungu. Msisitizo...
Na Mwita Mwija Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ameeleza kuwa kutokana na uhaba wa fedha, kwa sasa wagombea wote ngazo za mitaa, vijiji na vitongoji lazima wachangie kukiwezesha chama shilingi Laki nne (400,000) hii itasaidia uwezeshaji katika usimamizi wa chaguzi hizo kwa kuweka mawakala wa kusimamia zoezi hilo. "Pia chama bado tunaendelea kutafuta wafadhiri wa kutufadhiri katika chaguzi hizi ili tuwe na nguvu kubwa na vigezi vyote watakavyo vitoa ili kutupa msaada huo wa kifedha tutavitimiza na hadi sasa tumemtuma Mhe. Tundu Lissu huko huko duni (nje ya nchi ) azungukie wadau na kutafuta fedha kwa masharti yeyote yale watakao yatoa tupo tiyari kuyatimiza na hadi sasa yuko mbioni kufanikisha hilo," amesema Katibu Mkuu CHADEMA...
Back
Top Bottom