Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo. Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima...
40 Reactions
105 Replies
6K Views
Kocha anawauliza hawa jamaa. Kati yenu nyie wawili, yupi ni Lomalisa Mutambala? Nataka nimuongeze Timu ya Taifa [emoji23].
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Hongereni Yanga na Simba kuipeperusha bendera ya nchi vizuri, kwa sasa kila nchi ipo na shauku ya kufahamu kipi special sana kwenye soka letu. Huu moto tuliouanza tuuendeleze kwa timu zote pia...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hatimaye Leo ndio siku ya utoaji Tuzo za mpira wa miguu chini ya usimamizi wa shirikisho la soka duniani (FIFA). Goalkeeper Bora. Emily Martinez wa Argentina amechukua Tuzo hii kwa mchango wake...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Soon wanakutana na manchester united. United tayari imewachapa kaka zake.
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimeangalia baadhi ya mechi fulani za Shirikisho. Nimegundua Yanga wana timu nzuri, sio kuliko timu zote za shirikisho hapana. Ila wana baadhi ya wachezaji wazuri kuliko timu zote za Shirikisho...
21 Reactions
31 Replies
3K Views
Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani. Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Good morning Tanganyika! Leo sisi ni shangwe tu Maana akishinda SIMBA limeshinda taifa na huu sio ushindi wa kawaida ni ushindi wa kumfunga mgeni goli nyingi kwenye mechi ya kimataifa. Na si mechi...
19 Reactions
68 Replies
5K Views
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Imefika hatua huyu kiumbe apewe heshima yake, na atambuliwe kwa mchango wake mkubwa katika soka la Tanzania. Huyu kijana alipaswa awepo Barcelona, Madrid au PSG akishindwa kabisa Liverpool au Man...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala. No...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakurungwa wapenda soka namleta kwenu mwamba, chinja chinja Sadio Kanoute a.k.a PUTIN. Jina la Putin alipewa kutokana na soka lake la roho mbaya, hacheki wala kutabasamu hizi ni tabia za mwenye...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa dhati wa soka, nimewahi kukaa na kuangalia mechi na wachezaji wa zamani na kujua kwa kina historia mbalimbali za soka maana bila kujua ulipotoka hauwezi kujua...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama...
2 Reactions
12 Replies
832 Views
Huyu mama ni mwanasheria nguli kabisa nchini anaeheshimika lakini kwenye hili la Faisal anakaribia kuipoteza heshima yake. Anadai kuwa Faisal sio mtumwa hivyo hawezi kulazimishwa kufanya kazi...
16 Reactions
69 Replies
4K Views
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sintowapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, timu kwa sasa inajiamini...
15 Reactions
68 Replies
3K Views
Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Shujaa muongoza njia alishatahadharisha kuwa tuogope sana Mungu na teknolojia. Kauli ya kombe la shirikisho ni kombe la walioshindwa na vilaza ni kauli iliyo tolewa na msemaji wa utopolo na...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Back
Top Bottom