Hii nchi haiwezi kuendelea maana Kuna wajinga wengi

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,469
12,590
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
 
[/QUOTE
UPUUZI MTUPU,ACHA kuungaunga ujinga
 
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Tim kutoka tanzania ilio fika robo fainali caf champions kuona aija fanikiwa uo nao ni upumbavu
 
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
RIP YANGA Tarehe 9..
 
Kuingia makundi CAFCL unapata takriban 1.5b

Kuchukua makombe yote tanzania unapata chini ya 1b

Mafanikio yako upande gani hapo?
 
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.
Cha ajabu ni kwamba hiyo hiyo timu ambayo imechukua makombe yote ya ndani, mashabiki wake ndio waliojazana kuhojiwa kwenye vyombo vya habari baada ya mechi na Africain, na kusema kwamba hawamtaki kocha wao Nabi, na kwamba ni mpumbavu, aondoke aende kwao
 
Kuingia makundi CAFCL unapata takriban 1.5b

Kuchukua makombe yote tanzania unapata chini ya 1b

Mafanikio yako upande gani hapo?
Hapo mwenye mafanikio Ni mwenye taji.... Baada ya miaka 10 huwezi kusema eti mwaka 2022 tulipataga tsh. 1.5 b, for what??? Lakini vikombe hata ukilipwa buku jero n mafanikio makubwa sana. Ndo maana Al ahly anaheshimika zaidi barani Africa Kama ilivo kwa Real Madrid ulaya kuliko Timu yyte ile...
Sio kwa pesa bali makombe
 
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Ukinicheka shambani nami nitakucheka sokoni, ngoma droo, unatolewa na al hilal unataka nisikucheke?
 
'Kalale 'Pema Peponi Kamanda'.....!
Tar 9, Mwisho Wa Mchezo. Turudi kwenye Unbeaten Ya Mchongo.
 
Mihogo ulokula wewe lazima itakuwa michungu,manake uko na mahasira sana!!..
 
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Hasa mashabiki wa utopolo.
Timu linashinda kwa miamala ya tigo pesa,ila wao wanaona ndio timu bora inaweza kucheza la liga.

Timu inasajili kwa ajili ya kuifunga Simba tu,ila mashabiki wao wanaridhika hata wakifungwa club bingwa.
Kwa aina hii ya watu ni wazi nchi haiwezi kufanikiwa nami nakuunga mkono.

Kidogo timu za club moja tu ndio zinawakilisha vizuri kimataifa.
 
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.
Kutokufungwa kwa kuwapa marefa wa kibongo mlungula,mbona kwa marefa wa Nje makalio yanatoa jasho,marefa wa Nje wanajielewa,hawaongeki kisenge *****,Jumatano ijayo mtagongwa kama ngoma ya mdaku
 
Back
Top Bottom