Wakuu, nazipongeza timu zetu kwa matokeo mazuri ya mechi za CAF zilizochezwa hspa nyumbani.
Naomba mnisaidie utaratibu wa timu ya Yanga wachezaji kuingia uwanjani.
Nimezowea kuona timu zinapoingia...
Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars).
Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita...
Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke...
Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa.
Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa...
Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki.
Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao...
Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyojieleza hapo, ni kuwa, kila mtu anajua mwisho wa Simba kimataifa ni Robo Fainali. Hata wenyewe wana Simba ukiwauliza huwa wanasema wao mafanikio yao huwa ni kufika...
Habari wanajukwaa,
Leo naona tumalize utata wa nani zaidi kati ya viungo hawa wawili. Wote ni viungo wazuri, ila mmoja ana uwezo zaidi anapokuwa kulia na mwingine anapokuwa upande wa kushoto...
Kuna mzee mmoja ni Jaji mstaafu kwa sasa, alishawahi kutuambia kuwa ukienda Mahakamani basi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wanona wana haki. Hata kesi za jinai ukisikiliza upande wa mtuhumiwa ni...
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu,
Mwaka 2010 FIFA ilitangaza rasmi mapinduzi ya technolojia katika mpira wa miguu, hii ni baada ya Kombe la Dunia lililopigwa South Africa kwa Madiba.
Modern...
Ukiona watu wanaojiita Wachambuzi wa Michezo wanajaribu kuwaaminisha Watanzania kwamba Simba ni timu dhaifu simply kwa kuwa Chama anaufanya mchezo wa soka kuonekana mrahisi mno, ujue hao ni...
Binafsi tokea uteuliwe kuwa Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo sijaona la maana ulilofanya hata katika Press Conferences zako zote.
Yaani kabisa Waziri mzima unasimama mbele ya watu...
Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano.
Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila...
Kutokana na wingi wa magoli, naona hatujapata muda hasa wa kuyazungumzia vizuri ubora wa magoli waliyofunga Simba. Nimeona ni vizuri tulijadili hili.
Kwa upande wangu nitazungumzia hasa magoli...
Ki ukweli watangazaji Jonas Maziku na Abdul Razak wamekinogesha kipindi hiki cha kama dakika 15 hivi jioni.
Sasa hivi huyu Jeff Lea ni kama anakifanya kuwa cha umbea umbea hivi na hii imetokea...
Kushoto ni mchezaji kinda anayekuja kwa kasi anayechezea Kilabu cha mpira cha Simba Sc na Kulia Kabisa ni Mchezaji anayetajwa kuwa tarajio kubwa kwa kikosi hicho, Wakiwa katika picha ya pamoja na...
Kipindi cha Michezo Kizuri cha Usiku cha Sports Extra cha Clouds FM kinapendwa na kinasikilizwa na Wengi (GENTAMYCINE nikiwemo) si kwa Kuahidiwa nao kupewa Pesa Nono.
Baada ya Kitenge na Wenzake...
Naomba nikiri mimi ni Mwanachama wa Simba na nilishwahi kufanya kazi kwenye moja ya makampuni ya huyu anayejiita YOUNG BILLIONAIRE (si lolote si chochote).
Niliwahi fanya kwenye kampuni ya 21st...
Picha: Fesal Salum 'Fei Toto'
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda.
Picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.